long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,064
- 1,012
Nimekumbuka Sugu anakatwa mitama Pale mbeya na hawa wapuuzi. Wanajionaga wao sio raia wakiwa kwenye vigwanda vyao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wako vizuri sana.Jeshi la kizalendo liko Malawi. Wananchi waliandamana kupinga ujinga wa serikali, polisi vibaraka wakaleta za kuleta jeshi likaingilia Kati na kuwafurusha polishit
Hapana sio yeye MkuuSio yule dingi anaefanana na Shetta mkuu'?