long live my love JF-Expert Member Joined Feb 23, 2014 Posts 1,064 Reaction score 1,012 Sep 14, 2020 #161 Nimekumbuka Sugu anakatwa mitama Pale mbeya na hawa wapuuzi. Wanajionaga wao sio raia wakiwa kwenye vigwanda vyao.
Nimekumbuka Sugu anakatwa mitama Pale mbeya na hawa wapuuzi. Wanajionaga wao sio raia wakiwa kwenye vigwanda vyao.
Yudatade Edesi Shayo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 2,903 Reaction score 4,334 Sep 15, 2020 #162 Ila mimi askari hata ni kute kapoteza nauli si mpi
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Sep 15, 2020 #163 Deceiver said: Jeshi la kizalendo liko Malawi. Wananchi waliandamana kupinga ujinga wa serikali, polisi vibaraka wakaleta za kuleta jeshi likaingilia Kati na kuwafurusha polishit Click to expand... Jamaa wako vizuri sana.
Deceiver said: Jeshi la kizalendo liko Malawi. Wananchi waliandamana kupinga ujinga wa serikali, polisi vibaraka wakaleta za kuleta jeshi likaingilia Kati na kuwafurusha polishit Click to expand... Jamaa wako vizuri sana.
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 Sep 15, 2020 #164 Malipo ni hapa hapa duniani.
D Daddi JF-Expert Member Joined Jan 6, 2017 Posts 890 Reaction score 1,395 Sep 15, 2020 #165 mng'ato said: Sio yule dingi anaefanana na Shetta mkuu'? Click to expand... Hapana sio yeye Mkuu