white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
kiwanda cha azam,kimeamua kuingia kwenye ushindani wa kibiashara na kampuni ya coca cola,kwa kutengeneza kinywaji kiitwacho AZAM COLA!ambacho kina ujazo wa 500mls.kinauzwa kwa tsh.500.sasa maeneo mengi ya jiji la dsm,chawa gumzo,hususani maeneo ya uswahili ambao kwao ki2u cha muhimu ni quantity kwanza,mengine baadaye.na chupa yake ni 'take away'na radha yake ni ile ya coca ya zamani!coca cola wawe makini kwani kwani tofauti hii ya 150mls,ni kubwa kwa maisha ye2u ya uswazi.