Jamani Azam cola nomaaaaa......

Jamani Azam cola nomaaaaa......

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,566
Reaction score
13,770
kiwanda cha azam,kimeamua kuingia kwenye ushindani wa kibiashara na kampuni ya coca cola,kwa kutengeneza kinywaji kiitwacho AZAM COLA!ambacho kina ujazo wa 500mls.kinauzwa kwa tsh.500.sasa maeneo mengi ya jiji la dsm,chawa gumzo,hususani maeneo ya uswahili ambao kwao ki2u cha muhimu ni quantity kwanza,mengine baadaye.na chupa yake ni 'take away'na radha yake ni ile ya coca ya zamani!coca cola wawe makini kwani kwani tofauti hii ya 150mls,ni kubwa kwa maisha ye2u ya uswazi.
 
Azam wamekuja vibaya na soda zao kama hiyo Azam Cola imetokewa kupendwa sana ujazo mwingi 500 Ml wakati soda ya kawaida ujazo wake 350 Ml, Coca Cola lazima nao wabadilike wasipobadilika watajuta
 
azam wamekuja vibaya na soda zao kama hiyo azam cola imetokewa kupendwa sana ujazo mwingi 500 ml wakati soda ya kawaida ujazo wake 350 ml, coca cola lazima nao wabadilike wasipobadilika watajuta
chatu utageuka kenge,that thing has a lot of sugar is not health ohoooo
 
Huo ndiyo UWEKEZAJI mzuri ambao unamjali mtanzania na hasa mzalendo. Bravo Azam!
 
Waungwana Coca Cola ni franchise brand, huwezi kuamka tuu ukabidilisha ujazo kutoka 350 kwenda 500. Ni lazima ucomply na requirements za CoCa Cola company. Pili, azam ni new brand ambayo haijulikani hata boda ya kenya na Tanzania. Kuestablish brand can take million of dollars, sababu sio raisi na wala sio mchezo. Kwa upande wa pili wa sarafu, azama anaweza kupata % fulani ya market share ya soda ya Tanzania. Lakini kuna watu ambao ni royal kwa brand, na hawa ni wale ambao no matter what watakunywa soda ambayo they always like kunywa. Na watu hawa ndio wenye high purchase power na wanatabia wa kutumia brand mara kwa mara.

Mfano: Mimi siwezi kunywa Cola hata kama ni bure, niko zaidi kwenye orange soda. So, tusiongelee ushabiki, it will take decades kwa Azam Cola kujulikana nje ya mipaka ya Tanzania.
 
aroma ya coca cola is the best

world wide kuna mavinywaji ya cola mengi sana
 
Kumlinganisha Azam na Coca cola ni sawa na kulinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu. By the way nimevutiwa na ubunifu wa Azam big up AZAM
 
Amanindoyella- Sayona ni ya Shubashi-nI MMOJA WA WAFANYABIASHARA WAKUBWA BONGO

 
Mi nawaza about KISUKARI..........SIJUI WENZANGU
Azam wamekuja vibaya na soda zao kama hiyo Azam Cola imetokewa kupendwa sana ujazo mwingi 500 Ml wakati soda ya kawaida ujazo wake 350 Ml, Coca Cola lazima nao wabadilike wasipobadilika watajuta
 
kiwanda cha azam,kimeamua kuingia kwenye ushindani wa kibiashara na kampuni ya coca cola,kwa kutengeneza kinywaji kiitwacho AZAM COLA!ambacho kina ujazo wa 500mls.kinauzwa kwa tsh.500.sasa maeneo mengi ya jiji la dsm,chawa gumzo,hususani maeneo ya uswahili ambao kwao ki2u cha muhimu ni quantity kwanza,mengine baadaye.na chupa yake ni 'take away'na radha yake ni ile ya coca ya zamani!coca cola wawe makini kwani kwani tofauti hii ya 150mls,ni kubwa kwa maisha ye2u ya uswazi.

you are a good marketing executive... tell them to raise your package kabla hujahamia airtel
 
Mtanganyika.Nakubaliana na wewe kuhusu umuhimu wa brand kwenye biashara.Lakini kwa habari ya AZAM-Ngoja nikupe changamoto ya kufanya uchunguzi ni kwa jinsi gani brand hii inafahamika sasa hivi barani Africa.

kwa kukusaidia tu,sasa hivi bidhaa za AZAM zinafahamika Nchi zote za Africa Mashariki na kati.SSB sasa hivi wanaviwanda nchi nyingi zingiwemo Uganda,Malawi na kwingineko.Na hawajaanza jana au leo.soma hapa uone walianza kufahamika nchi za nnjei tangu lini AfricaNews - Wheat milling to help Malawi beat export expenditure - The AfricaNews articles of Mtheto Lungu
 
Ebana hii kitu nimesikia wadau wengi wanasifia!.cant wait to drink it.
 
Hivi ni asilimia ngapi ya WaTz waishio mijini wana uhakika wa kunywa juisi? Acha wale waishio Vijijini, na hizo soda zenu ndo kabisa..! Acheni ubinafsi Bandugu. Ndo mana Magamba wanatupeleka puta. Hivi kesho sitashangaa Mkullo (jina hili nalitamka-ga kwa hadhari, kwetu ni tusi zito) akija na kusema uchumi umepanda kwa kigezo cha mauso ya Cola yenu mtamlaumu? Si bure tumerogwa...!
 
Binafsi naona wanazidi kutuua...hizo lita zote ziingie mwilini ni hatari, itabidi tunywe lita 10 za maji for dilution kwa kila fundo.
 
kiwanda cha azam,kimeamua kuingia kwenye ushindani wa kibiashara na kampuni ya coca cola,kwa kutengeneza kinywaji kiitwacho azam cola!ambacho kina ujazo wa 500mls.kinauzwa kwa tsh.500.sasa maeneo mengi ya jiji la dsm,chawa gumzo,hususani maeneo ya uswahili ambao kwao ki2u cha muhimu ni quantity kwanza,mengine baadaye.na chupa yake ni 'take away'na radha yake ni ile ya coca ya zamani!coca cola wawe makini kwani kwani tofauti hii ya 150mls,ni kubwa kwa maisha ye2u ya uswazi.

hao wezi sana huku ughaibuni tunanunua soda ya lita 1 sawa na sh 600, lita 2 sh 1200
 
Nadhani si sawa kulinganisha Coca cola na Azam cola.
Lakini hii haizuii kuwasifia Azam kwa kinywaji chake kama ni kizuri na kinaendana na hali ya mTz
 
hongera kwao azam. watz hatuna uzalendo kama wenzetu wa kenya, wao hu-support products za kwao. bakheresa ameajiri watz lukuki jamani,walau hafisadi burebure.
na huko uswazi 500mls of soda ni happy hr kwa familia nzima.wakati unatengeneza product ni muhimu kufikiria targeted market, wa coke wapo wanaokunywa kwa kulipia 3000 tshs,so no harm in this
 
Back
Top Bottom