Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla cjakushauri naomba nikuulize. kwani huwa unamnunulia bia?habari wana jf,<br />
kuna bar moja huwa napendelea kushinda kwa siku za ijumaa, jmosi na j2 kwa kupata maji ya baraka, chakula na kutazama soka. kuna baamedi mmoja tumezoeana sana.yaani imefika wakati anafikiri ninampenda na nitamwoa...sasa tatizo kila ninapofika bar huwa anakuja kukaa nilipo na mpaka anajisahau kuhudumia wateja wengine....duh nimeshituka,ntamharibia kazi bure. au ananiwinda??
sijui wewe unamuonekano gan?.lakn kuoa barmad sikushaul
sa ndo umuwahi wewe mkuusure. ni kazuri. tunachoogopa ni kwama wanatupiwa sana macho na njemba kibao.....
<br /> <br / upo sawa lakn du!!!!!siukubali kabisa huu musemo.SI KILA AFANYAE BAA NI BARMEDMkuu nadhani ni Bongo pekee na Africa ndio tunadharau kazi lakini wenzetu kazi yoyote ni kazi tu, mfano unakuwa ma-bar maid wengi ni watu ambao wanafanya hizo kazi kama part time (wengi ni wanafunzi au watu wenye kazi zao nyingine ila weekend wanaamua kujiongezea kipato..)<br /> <br /> Ila sababu ya tabia zetu tunakuwa na kasumba ya kudharau baadhi ya kazi..., wakati kazi ni kazi tu bora mkono huende kinywani na mtu unaweza ukawa ofisini ukawa hujithamini lakini bar maid akawa ni mtu anaejiheshimu.
dah hivi kwann hawa dada zetu wanaotuhudumia kulainisha makoo yetu hawathaminiwi?....yeye ni mwanamke kama wanawake wengine..ni kazi aliyoichagua kama walichagua kuwa maofisini..aidha kwa sababu moja au nyingine inamlazimu kuifanya hii kazi. tena walio wengi wamefikia kiwango kizuri tuu cha elimu..na wanauelewa mzuri tuu na wanajiheshimu pia. tuwathamini na tuwajali kama wanawake wengine banaaa..wote wangekuwa maofisini ni nani angekuhudumia hayo maji ya uzima?
Basi ndio mana anakuganda!! mi na expirience nao sana hao watu. na ww usiache 10% iende hiv hiv!! hakikisha unacmamia shoo.mizinga kama kawa..... huwa anapata japo 2 kama 10% good customer care
Li-fisi utalijua tu...!!!kimeshanuka huko..!!habari wana jf,
kuna bar moja huwa napendelea kushinda kwa siku za ijumaa, jmosi na j2 kwa kupata maji ya baraka, chakula na kutazama soka. kuna baamedi mmoja tumezoeana sana.yaani imefika wakati anafikiri ninampenda na nitamwoa...sasa tatizo kila ninapofika bar huwa anakuja kukaa nilipo na mpaka anajisahau kuhudumia wateja wengine....duh nimeshituka,ntamharibia kazi bure. au ananiwinda??
habari wana jf,