Jamani baa maid huyu....!!!

Jamani baa maid huyu....!!!

sijui wewe unamuonekano gan?.lakn kuoa barmad sikushaul
 
habari wana jf,<br />
kuna bar moja huwa napendelea kushinda kwa siku za ijumaa, jmosi na j2 kwa kupata maji ya baraka, chakula na kutazama soka. kuna baamedi mmoja tumezoeana sana.yaani imefika wakati anafikiri ninampenda na nitamwoa...sasa tatizo kila ninapofika bar huwa anakuja kukaa nilipo na mpaka anajisahau kuhudumia wateja wengine....duh nimeshituka,ntamharibia kazi bure. au ananiwinda??
Kabla cjakushauri naomba nikuulize. kwani huwa unamnunulia bia?
 
sijui wewe unamuonekano gan?.lakn kuoa barmad sikushaul

Mkuu nadhani ni Bongo pekee na Africa ndio tunadharau kazi lakini wenzetu kazi yoyote ni kazi tu, mfano unakuwa ma-bar maid wengi ni watu ambao wanafanya hizo kazi kama part time (wengi ni wanafunzi au watu wenye kazi zao nyingine ila weekend wanaamua kujiongezea kipato..)

Ila sababu ya tabia zetu tunakuwa na kasumba ya kudharau baadhi ya kazi..., wakati kazi ni kazi tu bora mkono huende kinywani na mtu unaweza ukawa ofisini ukawa hujithamini lakini bar maid akawa ni mtu anaejiheshimu.
 
Mkuu nadhani ni Bongo pekee na Africa ndio tunadharau kazi lakini wenzetu kazi yoyote ni kazi tu, mfano unakuwa ma-bar maid wengi ni watu ambao wanafanya hizo kazi kama part time (wengi ni wanafunzi au watu wenye kazi zao nyingine ila weekend wanaamua kujiongezea kipato..)<br /> <br /> Ila sababu ya tabia zetu tunakuwa na kasumba ya kudharau baadhi ya kazi..., wakati kazi ni kazi tu bora mkono huende kinywani na mtu unaweza ukawa ofisini ukawa hujithamini lakini bar maid akawa ni mtu anaejiheshimu.
<br /> <br / upo sawa lakn du!!!!!siukubali kabisa huu musemo.SI KILA AFANYAE BAA NI BARMED
 
bahati haiji mara mbili,mke huyo unampiga teke,ohh!!!
 
dah hivi kwann hawa dada zetu wanaotuhudumia kulainisha makoo yetu hawathaminiwi?....yeye ni mwanamke kama wanawake wengine..ni kazi aliyoichagua kama walichagua kuwa maofisini..aidha kwa sababu moja au nyingine inamlazimu kuifanya hii kazi. tena walio wengi wamefikia kiwango kizuri tuu cha elimu..na wanauelewa mzuri tuu na wanajiheshimu pia. tuwathamini na tuwajali kama wanawake wengine banaaa..wote wangekuwa maofisini ni nani angekuhudumia hayo maji ya uzima?
 
tena huyo ndo mzuri amapetia mengi ukimweka ndani atatulia
 
Duh!wengi kumbe tuko adict na ma'bar maids' coz number nyingi kwenye simu yangu ni zao!we kula kuku huyo.
 
sijui wewe unamuonekano gan?.lakn kuoa barmad sikushaul

kwanini Surn?? tupe uzoefu wako tufaidike mabachelor....tusije ingia choo cha kike
 
dah hivi kwann hawa dada zetu wanaotuhudumia kulainisha makoo yetu hawathaminiwi?....yeye ni mwanamke kama wanawake wengine..ni kazi aliyoichagua kama walichagua kuwa maofisini..aidha kwa sababu moja au nyingine inamlazimu kuifanya hii kazi. tena walio wengi wamefikia kiwango kizuri tuu cha elimu..na wanauelewa mzuri tuu na wanajiheshimu pia. tuwathamini na tuwajali kama wanawake wengine banaaa..wote wangekuwa maofisini ni nani angekuhudumia hayo maji ya uzima?

duh eti maji ya uzima......
 
mizinga kama kawa..... huwa anapata japo 2 kama 10% good customer care
Basi ndio mana anakuganda!! mi na expirience nao sana hao watu. na ww usiache 10% iende hiv hiv!! hakikisha unacmamia shoo.
 
Basi ndio mana anakuganda!! mi na expirience nao sana hao watu. na ww usiache 10% iende hiv hiv!! hakikisha unacmamia shoo.

chwechwe na avatar yako duh ni balaa. nikisimamia show ndo ntakabwa....
 
habari wana jf,
kuna bar moja huwa napendelea kushinda kwa siku za ijumaa, jmosi na j2 kwa kupata maji ya baraka, chakula na kutazama soka. kuna baamedi mmoja tumezoeana sana.yaani imefika wakati anafikiri ninampenda na nitamwoa...sasa tatizo kila ninapofika bar huwa anakuja kukaa nilipo na mpaka anajisahau kuhudumia wateja wengine....duh nimeshituka,ntamharibia kazi bure. au ananiwinda??
Li-fisi utalijua tu...!!!kimeshanuka huko..!!
 
Achana nae huyo kama huna mpango nae. Lakini kama unataka kumega we mega halafu tambaa, ila yatakayo kukuta usije kulalamika hapa.
 
Hapa Arusha kuna bar inaitwa "masaburi" bar. Hao wahudumu ni utata mtupu! Unaweza kuulizwa unakunywa nini ukajikuta bado unayashangaa tu hayo "masaburi" ukawa bado hata hujasikia! Na ushirikiano" wao kwa "wateja" wao ndio utakufanya ukajikuta "uhamishoni" kabisa!
Mimi nimeihama kabisa maana nina "penzi changa!"
 
habari wana jf,
kuna bar moja huwa napendelea kushinda kwa siku za ijumaa, jmosi na j2 kwa kupata maji ya baraka, chakula na kutazama soka. kuna baamedi mmoja tumezoeana sana.yaani imefika wakati anafikiri ninampenda na nitamwoa...sasa tatizo kila ninapofika bar huwa anakuja kukaa nilipo na mpaka anajisahau kuhudumia wateja wengine....duh nimeshituka,ntamharibia kazi bure. au ananiwinda??

C'mon hazole!! Being a bar maid is nothing!!. Huyo ni mwanamke, tena anaweza kuwa bora kuliko wanukia manukato maofisini wanaoinamishwa kila siku na mabosi!!. Wewe jitwalie huyo barmaid and you hav to be proud of that!!
 
Back
Top Bottom