KILLERS KISS GUY
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 718
- 258
kwa kweli bodi ya mikopo ifike hatua muwe na aibu hivi hela zetu bado munafanyia biashara tu? nani asiyejua udhalimu uliopo ndani ya bodi ya mikopo mtu akiajiliwa leo baada ya miezi yaa mitatu ana gari la kukata na shoka hivi hela munazito wapi kama hela zetu munaenda kuzizungusha,,, UDSM, UDOM, SAUT, mzumbe tuungane kwa pamoja tukadai hela zetu
hahahahaha.

Sasa wewe ushajua yeye mbuzi halafu unaongea naye nawe sasa chizi.unacheka nini sasa we mbuzi?
Poleni mi siend field mpaka waweke pesa lasivyo wakubal kufanyia field nyumban
Waambie waandamane....haitachukua muda
Ni tungo tata hiyo dadangu, ungeitafakari kwa mapana ungeelewa namaanisha nini....KWA KUWA UNATAFAKARI SANA..UTAELEWA TU..mkuu wanaandamanaje wakiwa mmoja mmoja makazini wanakofanyia field! Nakushauri uwe unatafakari kabla ya kupost comment yako