Jamani bodi ya mikopo hivi hela yetu ya field lini?

Jamani bodi ya mikopo hivi hela yetu ya field lini?

vizuri, ndo hiki kinachotakiwa ushrikianon kwa wote ili tulete ukombozi, hata hapam uDSM kuna baadhi ya collage walishalipwa, na hilin lilifanyika kwa lengo la kutuguwa na kuvunja umoja ili tusiweze kudai hela zetu, lakini amini usiamni tukifungua lazima DARUSO ivunjwe coz wameshindwa kufanya kazi tuliyo watumja
 
ock, naheshimu mawazo yako, pia namushukuru mungu kwa kuwa umeelewa nilichokuwa namaanisha, nitazingatia
 
kwa kweli bodi ya mikopo ifike hatua muwe na aibu hivi hela zetu bado munafanyia biashara tu?

Nani asiyejua udhalimu uliopo ndani ya bodi ya mikopo mtu akiajiliwa leo baada ya miezi yaa mitatu ana gari la kukata na shoka hivi hela munazito wapi kama hela zetu munaenda kuzizungusha,,, UDSM, UDOM, SAUT, Mzumbe tuungane kwa pamoja tukadai hela zetu.

Dah, nimemkumbuka silva (loan officer udsm), juzi nasubiri daladala za kwenda kwetu changanyikeni mara akapita mtu anadrive, sura yake kama silva ivi. Ikabidi nicheki kwa makini, macho yangu hayakunidanganya. Nikaanza kujiuliza, haka kajaluo katani kangu juzijuzi tu tumemaliza nako chuo kameshanunua gari?
BODI KUNA ULAJI
 
vizuri, ndo hiki kinachotakiwa ushrikianon kwa wote ili tulete ukombozi, hata hapam uDSM kuna baadhi ya collage walishalipwa, na hilin lilifanyika kwa lengo la kutuguwa na kuvunja umoja ili tusiweze kudai hela zetu, lakini amini usiamni tukifungua lazima DARUSO ivunjwe coz wameshindwa kufanya kazi tuliyo watumja

#mikwara hii
we uvunje daruso kwa njaa zako.... mfukuze mkandara basi tuone mko makini
 
Tetesi,nimesikia mtapewa pesa za field mkifungua chuo, bodi hawana pesa baadhi ya college ambazo wanafunzi ni wachache ndio waliopata koz pesa yao ni ndogo tetesi lakini wakuu!

mxiiiiuuu...nimeckia tetesi unaliwa 0713...tetesi ttu lakini
 
Back
Top Bottom