KILLERS KISS GUY
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 718
- 258
- Thread starter
-
- #41
kwa kweli bodi ya mikopo ifike hatua muwe na aibu hivi hela zetu bado munafanyia biashara tu?
Nani asiyejua udhalimu uliopo ndani ya bodi ya mikopo mtu akiajiliwa leo baada ya miezi yaa mitatu ana gari la kukata na shoka hivi hela munazito wapi kama hela zetu munaenda kuzizungusha,,, UDSM, UDOM, SAUT, Mzumbe tuungane kwa pamoja tukadai hela zetu.
vizuri, ndo hiki kinachotakiwa ushrikianon kwa wote ili tulete ukombozi, hata hapam uDSM kuna baadhi ya collage walishalipwa, na hilin lilifanyika kwa lengo la kutuguwa na kuvunja umoja ili tusiweze kudai hela zetu, lakini amini usiamni tukifungua lazima DARUSO ivunjwe coz wameshindwa kufanya kazi tuliyo watumja
Tetesi,nimesikia mtapewa pesa za field mkifungua chuo, bodi hawana pesa baadhi ya college ambazo wanafunzi ni wachache ndio waliopata koz pesa yao ni ndogo tetesi lakini wakuu!