Jamani bodi ya mikopo hivi hela yetu ya field lini?

Jamani bodi ya mikopo hivi hela yetu ya field lini?

Mbona ile ndio burudani ya vijana,so nitaacha siku nikioa,bora nyeto kuliko kufanya zinaa
 
Hazina nao hawana fedha, cha kushangaza kuhusu hili ni kwamba mwaka mpya wa fedha wa 2014/2015 ndio umeanza rasmi mnamo July 1, 2014 wiki tatu baadaye Hazina hawana fedha!!!! Kwa maana hii basi kile kikao cha Bunge la Bajeti kilikuwa ni usanii mtupu wa kupanga bajeti huku kukiwa hakuna pesa.

Ni wiki ya tatu sasa tangu field zianze kwa wanafunzi mbalimbali wa elimu ya juu lakini katika hali ya kusikitisha mpaka sasa hawajapata fedha ya kujikimu kwa ajili ya field baadh waliotangulia kwa gharama zao wenyewe wako ktk hali mbaya sana kifedha na wengine bado hawajawasili katika maeneo mbalimbali waliyopangiwa kwa ajili ya field.....

bodi ya mikopo wanasema hawana fedha wanasubiri hazina iwapelekee na hazina nayo haijatoa majibu ya kueleweka kwamba lini wataipa bodi fedha hiyo......Tunataka kusikia kauli ya serikali lini fedha hizi zitapelekwa kwa wahusika.....wadau wa Elimu na wanaharakati mbalimbali saidieni hambo hili
 
sidhani kwa sasa kama kuna organization yyte le inalipa coz kwenye barua za field tumeandikiwa mwanafunzi hatakiwi kulipwa chochote coz anapewa hela na bodi ya mikopo, bila kujali ana mkopo au hana coz barua zote zimeandikwa hivyo
 
tatzo la hela ya field kuchelewa kuna sababu nyingi, kwanza ni udhaifu wa serikali za wanafunzi kuwa karibu sana na utawala na kusahau majukumu yao, pili serikali hizi hizi za wanafunzi zimeshindwa kwa kiasi kikubwa kuwashirikisha wanfunzi ni namna gani ya kuzipata hizi pesa, coz hizi hela zipo sema tu ni namna gani ya kuzipata ndio serikali zetu za wanafunzi zimeshindwa..tatu wanafunzi wa miaka hii tumekuwa dhaifu mno mpaka tunashindwa kujua aki zetu, huwa najiuliza mitaani tutakuwaje....coz kwa sasa wanafunzi kucheleshewa malipo yao imkuwa ni swala la kawaida,,zamani UDSM ndio walikuwa wakombozi na mabigwa wa kudai haki lakini hali siyo kama zamani tumepowa sana jamani hebu tuamke, na mwisho nitoe ushauri kama inawezekana wanafunzi wote ambao hawajapata hela ya field waandamane kwa mkuu wa mkoa popote alipo.
 
haahahaaaa polen wapendwa mi nawashauri andamaneni had hazina
 
haahahaaaa polen wapendwa mi nawashauri andamaneni had hazina

we mwalimu punguza madharau basi...hii ni serious issue,wa2 wanalia njaa afu we unacheka nn?au kwsababu umeajiriwa juzi juzi!!!utaorganize vp wa2 waandamane ad hazina while weng wao wapo mikoan??afu kwani hazina wana mkataba na wanafunz??..ungesema waandane mpk bodi ungeoneka mwalim mwny busara
 
Tetesi,nimesikia mtapewa pesa za field mkifungua chuo, bodi hawana pesa baadhi ya college ambazo wanafunzi ni wachache ndio waliopata koz pesa yao ni ndogo tetesi lakini wakuu!
 
Kama pesa haipo, kwanini wametoa tamko kua waliomaliza diploma mwaka huu wataenda jkt? Hio pesa ya kuwapeleka jkt imetoka wapi? Washezi 2 hao!
 
Marais wa vyuo wajipange sasa wakati mwngine walazimishe pesa ya field mpatiwe 1 week before kufunga vyuo ili wakishndwa nguvu ya kugoma mnayo kuliko muda kama huu hamna athari yoyote.

Poleni kwa mnaosubiria.
 
Wenye wadogo zao au ndugu zao muwaokoe, mtachapiwa dada zenu na madereva boda boda
 
mm naamni hela zipo za kutosha mbona kwenye bunge la katiba hawajawahi kusema kuwa hawana hela
 
Rais Kikwete hivi unajua mpaka sasa kuwa wanafunzi wa elimu ya juu hawaja pata fedha zao za mazoezi kwa vitendo(field) japo kuwa wamesharipoti kwenye vituo? Hivi unajua kwamba wasomi hao wanaumia kuona bunge la katiba linaanza mwezi ujao huku wabunge wakitegemea kupata posho ya shilingi laki 3 kwa siku wakati wakiwa bungeni wanarushiana mipasho tu huku wao wakiteseka hata fedha ya kunywa chai na chapati hawana? Ccm msitafute mchawi wa kwa nini hampati support kutoka kwa wasomi wachawi ni ninyi wenyewe. POLENI SANA WASOMI WA TANZANIA
 
kwa kweli bodi ya mikopo ifike hatua muwe na aibu hivi hela zetu bado munafanyia biashara tu?

Nani asiyejua udhalimu uliopo ndani ya bodi ya mikopo mtu akiajiliwa leo baada ya miezi yaa mitatu ana gari la kukata na shoka hivi hela munazito wapi kama hela zetu munaenda kuzizungusha,,, UDSM, UDOM, SAUT, Mzumbe tuungane kwa pamoja tukadai hela zetu.

wakuu, unganeni kutetea fedha zenu. hayo matutusa yaliyotunisha mimacho mikubwa huko HESLB yatakuwa yameishatumbua hela zenu.
 
tatzo la hela ya field kuchelewa kuna sababu nyingi, kwanza ni udhaifu wa serikali za wanafunzi kuwa karibu sana na utawala na kusahau majukumu yao, pili serikali hizi hizi za wanafunzi zimeshindwa kwa kiasi kikubwa kuwashirikisha wanfunzi ni namna gani ya kuzipata hizi pesa, coz hizi hela zipo sema tu ni namna gani ya kuzipata ndio serikali zetu za wanafunzi zimeshindwa..tatu wanafunzi wa miaka hii tumekuwa dhaifu mno mpaka tunashindwa kujua aki zetu, huwa najiuliza mitaani tutakuwaje....coz kwa sasa wanafunzi kucheleshewa malipo yao imkuwa ni swala la kawaida,,zamani UDSM ndio walikuwa wakombozi na mabigwa wa kudai haki lakini hali siyo kama zamani tumepowa sana jamani hebu tuamke, na mwisho nitoe ushauri kama inawezekana wanafunzi wote ambao hawajapata hela ya field waandamane kwa mkuu wa mkoa popote alipo.

Mkuu, nakuunga mkono kwa hili lakini mbona umesahau kuweka punctuation marks kwenye andiko lako? Wewe kweli ni mwanachuo? Unasoma chuo gani?
 
kwa kweli bodi ya mikopo ifike hatua muwe na aibu hivi hela zetu bado munafanyia biashara tu?

Nani asiyejua udhalimu uliopo ndani ya bodi ya mikopo mtu akiajiliwa leo baada ya miezi yaa mitatu ana gari la kukata na shoka hivi hela munazito wapi kama hela zetu munaenda kuzizungusha,,, UDSM, UDOM, SAUT, Mzumbe tuungane kwa pamoja tukadai hela zetu.

Sie MZUMBE ela imeshaanza kuisha.... ila hatutasita kutoa ushirikiano
 
Back
Top Bottom