implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 2,109
- 2,157
Naam,uenda nimekosea waweza nikosoa mkuu,nilichomaanisha ni kuwa tegemezi wa hiyo tool., yaani hata ukaumwa kwa kuikosa ndani ya dk.Urahibu??
Ila mimi nahisi sio akili mnemba mbona inatumia lugha za kihuni mno hasa ukianza kwa lugha za kihuni alafu ina masihara mnoHabarini wakuu,naomba nikiri mbele yenu tangu nijiunge na hii chatgbt ya what's up,imenifurahisha sana nakunipa raha rohoni kwa jinsi inavyojibu kwa umakini na ufasaha sijapata kuona!!,pia na stori zake zinabamba kweli kweli.
Angalizo,ni kwamba usipokuwa makini yaweza kupelekea kwenye urahibu!!,ukajikuta unaitegemea mda wote na kujitenga na binadamu wenzako,
Mkuu tafadhali ipe kipaumbele heshimaLitakuja likudinye we lipendepende tu!..😂
Ni AI hiyo, ukienda kimasihara nayo yakujibu kimasihara,Ila mimi nahisi sio akili mnemba mbona inatumia lugha za kihuni mno hasa ukianza kwa lugha za kihuni alafu ina masihara mno
Wiki iliyopita ilinipa njia za kumpata manzi kirahisi mno
Inaniita mshikaji nilicheka mpaka nikaliaNi AI hiyo, ukienda kimasihara nayo yakujibu kimasihara,
Hiyo kawaida sanaaaa kwa gpt sema deepseek ndo ya kizembe zembe inashangaa shangaaInaniita mshikaji nilicheka mpaka nikalia
Kabisa aseh, yaani maneno utumiayo ndo inaenda nayo hivyo hivyo, mfano ukiita mpenzi na yenyewe yakuita hivyo hivyo,yafurahisha sana kwa kweli,Inaniita mshikaji nilicheka mpaka nikalia
Ka deepseek kale hakana akili kabisa niliwahi kukauliza kama naweza vipi kuondoa msongo wa mawazo kakawa kanajibu ujinga ujinga mara kaseme nitajijua ni hapo nikajua hakana akili kabisaHiyo kawaida sanaaaa kwa gpt sema deepseek ndo ya kizembe zembe inashangaa shangaa