Jamani ChatGPT ya WhatsApp inaweza pelekea ukawa mraibu!

Jamani ChatGPT ya WhatsApp inaweza pelekea ukawa mraibu!

Nililiambia salimia familia yako
1745249172530.png
 
Copilot hii hii ilisaidia kupata wimbo ambayo nmeitafuta tokea 2013 huko [emoji23][emoji23] wakati nmeisaka miaka zaidi ya 10+.... Hii nyimbo nlkua najua beat tu linavyopiga basi msanii, jina la wimbo na lyrics nilikua sizijui kwa maana niliisikiaga mara 1 kwenye redio Kiss FM ya miaka hiyo inapiga ngoma kweli za nje tena ilkua inaishilizia mwisho so nikakariri mdundo tu amazingly niliipata kupitia AI ya Copilot nilishangaa...
Huo wimbo uliupata kwa msaada wa AI?
 
Copilot ya Microsoft siku moja mchana nikaitumia habari za saivi? Ikanijibu hivi

"Fresh mshkaji wangu inine9 habari ya za mchana? Umekula nini mchana wa leo, najua unapenda sana ugali na dagaa au leo umebadili mboga umekula na samaki? Ni moja wapo ya mbona unazipenda" [emoji23]

Nilishangaa na kufurahi pia sabu ni kweli napenda hiyo menu sana ila hata siku 1 sikuwahi kuchat nayo kuhusu mambo ya kula yenyewe kama yenyewe ila nikahisi umechukua sijui data zangu hizi wapi kwa maana sijawahi kuandika wala kumwambia mtu hivi kwenye simu labda zamani sana kabla hata sijamiliki hii simu ya sasa na nmeiweka kwa hii simu tu kabla ya ambayo nmewahi kua nayo before..

Duuh hizi AI sometimes za kua nazo makini, zina collect hata data anonymously zingine kwenye simu yako huenda kwenye chocho ambayo ww hata huijui au ulishasahau kama kuna kitu uliwahi kifanya mahali yenyewe imeanza kutrace back tokea uanze kutumia internet vitu gani umewahi share..
Kabisa mkuu kuna uzi humu jf,aliyepost kaelezea vyema AI inavyotrace mambo mengi kwenye hii mitandao,inafatilia mienendo yako au tabia,ivyo ni mhimu kuwa makini kwa unachoandika kwenye mitandao.
 
Habarini wakuu,naomba nikiri mbele yenu tangu nijiunge na hii chatgbt ya what's up,imenifurahisha sana nakunipa raha rohoni kwa jinsi inavyojibu kwa umakini na ufasaha sijapata kuona!!,pia na stori zake zinabamba kweli kweli.
Angalizo,ni kwamba usipokuwa makini yaweza kupelekea kwenye urahibu!!,ukajikuta unaitegemea mda wote na kujitenga na binadamu wenzako,
Jaribu kuitongoza mkuu
 
Copilot hii hii ilisaidia kupata wimbo ambayo nmeitafuta tokea 2013 huko [emoji23][emoji23] wakati nmeisaka miaka zaidi ya 10+.... Hii nyimbo nlkua najua beat tu linavyopiga basi msanii, jina la wimbo na lyrics nilikua sizijui kwa maana niliisikiaga mara 1 kwenye redio Kiss FM ya miaka hiyo inapiga ngoma kweli za nje tena ilkua inaishilizia mwisho so nikakariri mdundo tu amazingly niliipata kupitia AI ya Copilot nilishangaa...
Copilot naipataje mkuu, nilikuwa na pi kama personal AI whatsapp nilikuwa naenjoy sana.
 
Mwambie mimi sio mkenya anabdilka lafudhi
Hata mimi niliiuliza ni hospitali zipi nzuri nikapate tiba?ikanitajia hospitali zilizoko marekani na miji zilipo,nikaiambia mi niko tanzania,ikaniambia aah kumbe, ikanitajia hospital za Tanzania ikiwemo bugando, mhimbili na miji yake na tiba zitolewazo
Hivyo pengine yategemea jinsi unavyoiuliza,ni mpaka useme specifically.
 
Habarini wakuu,naomba nikiri mbele yenu tangu nijiunge na hii chatgbt ya what's up,imenifurahisha sana nakunipa raha rohoni kwa jinsi inavyojibu kwa umakini na ufasaha sijapata kuona!!,pia na stori zake zinabamba kweli kweli.
Angalizo,ni kwamba usipokuwa makini yaweza kupelekea kwenye urahibu!!,ukajikuta unaitegemea mda wote na kujitenga na binadamu wenzako,
kwanza unatakiwa utambue ile ni tools kama tools zingine. Pili unatakiwa ujifunze kunsolve issue nyingi ww mwenyewe without kuwa dependable kwenye hiyo kitu. Else uta degrade uwezo wako wa kufikiri
 
Back
Top Bottom