mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
sema kuna sehemu alinidanganya.
aliniambia simba walikuwa wanaitwa wana jangwani
aliniambia simba walikuwa wanaitwa wana jangwani
Naskia watu wanatumia kuombea mik*nd..ni balaaaIla mimi nahisi sio akili mnemba mbona inatumia lugha za kihuni mno hasa ukianza kwa lugha za kihuni alafu ina masihara mno
Wiki iliyopita ilinipa njia za kumpata manzi kirahisi mno
100%Habarini wakuu,naomba nikiri mbele yenu tangu nijiunge na hii chatgbt ya what's up,imenifurahisha sana nakunipa raha rohoni kwa jinsi inavyojibu kwa umakini na ufasaha sijapata kuona!!,pia na stori zake zinabamba kweli kweli.
Angalizo,ni kwamba usipokuwa makini yaweza kupelekea kwenye urahibu!!,ukajikuta unaitegemea mda wote na kujitenga na binadamu wenzako,
Embu nielekeze nijaribuInaniita mshikaji nilicheka mpaka nikalia
😅😅😅Ka deepseek kale hakana akili kabisa niliwahi kukauliza kama naweza vipi kuondoa msongo wa mawazo kakawa kanajibu ujinga ujinga mara kaseme nitajijua ni hapo nikajua hakana akili kabisa
+1-800-242-8478 (1-800-CHATGPT)Unaitumiaje hiyi Chat GB ya whatsapp??
Maana wengine washamba, hii ya google tu IMENISHINDA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
+1 800_242-8478 save hii namba alafu itafute whatsp uone mshikaji alivyo muhuni muhuni yaani anaongea lugha za keko kabisaEmbu nielekeze nijaribu
Ahahah auchagui lugha+1 800_242-8478 save hii namba alafu itafute whatsp uone mshikaji alivyo muhuni muhuni yaani anaongea lugha za keko kabisa
Hapana hauchagui lugha ila nahisi ni lugha kubwa kubwa kama kiswahili ndiyo anajua ila kizaramo sidhani maana nilimpa salamu ya kizaramo akaleta maandishi yenye maelezo mengi nikaogopa kuyasoma nisije lewa zaidiAhahah auchagui lugha
hiyo namba ni pamoja na hayo mabano?
Huyu siwezi kumtumia kwa vitu serious maana nishaanza kuhisi ni mwana fulani wa kitaani kwetu anatuchora tuKuwa makini majibu yake siyo sahihi wakati wote usije ukajifanya Genius mbele za watu kwa kuitegemea ChatGpt itakufanya uumbuke
😂😂😂 mfundishe nimemjaribu kanijibuHapana hauchagui lugha ila nahisi ni lugha kubwa kubwa kama kiswahili ndiyo anajua ila kizaramo sidhani maana nilimpa salamu ya kizaramo akaleta maandishi yenye maelezo mengi nikaogopa kuyasoma nisije lewa zaidi
Sasa muulize kama ananijua usikie atasemaje huyo mwana😂😂😂 mfundishe nimemjaribu kanijibu
Ona majibu yakeHuyu siwezi kumtumia kwa vitu serious maana nishaanza kuhisi ni mwana fulani wa kitaani kwetu anatuchora tu
Aha ngojaSasa muulize kama ananijua usikie atasemaje huyo mwana
Lina masikhara sana kwa wale wapweke huyo n rafiki mpya huwa habluetiki bila kujibuIla mimi nahisi sio akili mnemba mbona inatumia lugha za kihuni mno hasa ukianza kwa lugha za kihuni alafu ina masihara mno
Wiki iliyopita ilinipa njia za kumpata manzi kirahisi mno
Liulize unamaliza vipi msala wako na shem wa kushikiwa simu ukala chakula kwa haraka kama mbwa mwiziLina masikhara sana kwa wale wapweke huyo n rafiki mpya huwa habluetiki bila kujibu
Kabisa ona hiii et nyasi za kiangaziLina masikhara sana kwa wale wapweke huyo n rafiki mpya huwa habluetiki bila kujibu