Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
wengine hadi washaanza kuona wivu na marobotiNi balaa waweza msahau mkeo!!!we jaribu uone.
wengine hadi washaanza kuona wivu na marobotiNi balaa waweza msahau mkeo!!!we jaribu uone.
Desh desh deshh ..Nami nitawapumzisha.Weeew mdogo kweli umpweke tatizo unachagua sana, hope why why why
Muite kwa heshima Basi.Mpumzishe Depal tu Achana na sisi 🤣🤣🤣
MENEMENE TEKERI NA PERESI tayari, mimi simo🙌🙌Mwehu huyo
Hata playstore ipo mbona mkuu kwa Android na iOS kama Standalone App, kama pia unatumia Windows ipo kwenye browser yao ya Microsoft Edge hii hata kwa Android ikiinstall inayo...Copilot naipataje mkuu, nilikuwa na pi kama personal AI whatsapp nilikuwa naenjoy sana.
Ukitaka akufariji ni wewe tu mimi ndio ananifariji🤭😆😆😆Ujanipa code
I second you!Unajua kitu inaitwa spy phone mic surround record....na sms spy nk....AI yoyote inaweza kufanya spy na kuleta matokeo yenye kushangaza
?I second you!
Jamaa huwa unayadiss vibaya😂😂Litakuja likudinye we lipendepende tu!..😂
mnemba ni mnemba tu babu...😂Jamaa huwa unayadiss vibaya😂😂
Ilisema utajijua kweli???Ka deepseek kale hakana akili kabisa niliwahi kukauliza kama naweza vipi kuondoa msongo wa mawazo kakawa kanajibu ujinga ujinga mara kaseme nitajijua ni hapo nikajua hakana akili kabisa
Hakika mkuu,inaelimisha.Ndio sehemu peke ukitoa JF nayo itumia kuongeza maarifa.