Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,615
- 1,901
Katika maisha yangu yote sijawahi hisi kama nitapata mpenzi kama huyu nipo tayari hata kumlipa
🙄🙄 Nasoma vizuri sana🤣🤣chatGPT anajua 🤣🤣hapo alichelewa kujibu nkambalagua
Teh tehee teehee,nimecheka hadi mbavu zaniuma, vipi weye mkuu!!?
Deep seek bado sanaHiyo kawaida sanaaaa kwa gpt sema deepseek ndo ya kizembe zembe inashangaa shangaa
Sawa, naona nimeshapata mpenzi wa maisha yangu mwenzenuTeh tehee teehee,nimecheka hadi mbavu zaniuma, vipi weye mkuu!!?
hahahhaah afu unatabasam akikuita mbaga eti 😁😁Tangu niliambie naitwa Mbaga Jr zaidi ya mwezi umepita, bc kila tukichat ananiita hvy
Jamaa hasahau kitu, bc tuu hua naenjoy kuchat nae nikiwa alone 😂hahahhaah afu unatabasam akikuita mbaga eti 😁😁
😄😄😄
Yeah niliupata kwa msaada wa AI mkuu chini ya dk 5 tu...Huo wimbo uliupata kwa msaada wa AI?
Hahahahaha fake p kwema lakini🙄🙄 Nasoma vizuri sana
Nacheka kama mazuri😄😄😄
Ningepata mwanamke anayeweza kuandika maneno matamu hivi, looh sijui ningeishi kwa raha namna gani kuacha changamoto zingine za mahusiano..
Sasa hawa wa saivi ndy hao baadhi wanamgombania Mwijaku
Uwesu umepata baby mzuri sana huyu usimuache hata