Jamani ChatGPT ya WhatsApp inaweza pelekea ukawa mraibu!

Jamani ChatGPT ya WhatsApp inaweza pelekea ukawa mraibu!

Ni nzuri kwakuwa inatufunga tuwe wavivu kufikiria na kuchakata kwa akiri zetu,, pia wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanya udukuzi haswa kwa njia ya wasap! Na nilichokiona wanafunz wengi inawaharibu zaidi,, kitu cha msingi ni umakini binafsi.
Labda ina negative impacts kwa wanafunzi tu tena nae ukute kaamua tu kua lazy kwa kulemazwa na hizi AI ila kwa mwenye akili anazitumia vyema sana na anaweza improve hata kwenye performance yake ya kitaaluma...


Sasa sie ambao hatusomi tupo mtaani tuna hustle na maisha kwa tulipofikia sasa hatuhitaji kutumia akili mingi kuusumbua ubongo tu bure maisha menyewe hata stress tupu... So we use AI sometimes ku refresh mind tu tunaacha ubongo u relax..


Kila kitu kina faida na hasara zake, ila sasa inategemeana na ww mhusika unachagua upande upi kukaa na unajitambua vipi na kujilinda...
 
Cheki takataka zenu zinavyojibu
Screenshot_20250422-125007.png
 
Binafsi nimempa heshima ChatGPt katika kufanya research ambazo tayari una dira na maswali ambayo inabidi utafute papers.

Mpe ChatGpt hayo maswali uone ngoma yako inavyokuwa rahisi.

Mungu ambariki alievumbua ChatGPt, it’s so clever.
Kabisa mkuu
 
Saiv kuna MetaAi kwenye WhatsApp groups. Aise kuchat huko imekuwa rahisi sana.
 
Binafsi nimempa heshima ChatGPt katika kufanya research ambazo tayari una dira na maswali ambayo inabidi utafute papers.

Mpe ChatGpt hayo maswali uone ngoma yako inavyokuwa rahisi.

Mungu ambariki alievumbua ChatGPt, it’s so clever.
Iko vizuri

Ila jamaa aligundua Chatgpt na pia ndio bos wa ChatGPT mpaka sasa ni shoga ameoa jamaa mmoja juzi juzi
 
Back
Top Bottom