Jamani ChatGPT ya WhatsApp inaweza pelekea ukawa mraibu!

Huo wimbo uliupata kwa msaada wa AI?
 
Kabisa mkuu kuna uzi humu jf,aliyepost kaelezea vyema AI inavyotrace mambo mengi kwenye hii mitandao,inafatilia mienendo yako au tabia,ivyo ni mhimu kuwa makini kwa unachoandika kwenye mitandao.
 
Jaribu kuitongoza mkuu
 
Copilot naipataje mkuu, nilikuwa na pi kama personal AI whatsapp nilikuwa naenjoy sana.
 
Mwambie mimi sio mkenya anabdilka lafudhi
Hata mimi niliiuliza ni hospitali zipi nzuri nikapate tiba?ikanitajia hospitali zilizoko marekani na miji zilipo,nikaiambia mi niko tanzania,ikaniambia aah kumbe, ikanitajia hospital za Tanzania ikiwemo bugando, mhimbili na miji yake na tiba zitolewazo
Hivyo pengine yategemea jinsi unavyoiuliza,ni mpaka useme specifically.
 
kwanza unatakiwa utambue ile ni tools kama tools zingine. Pili unatakiwa ujifunze kunsolve issue nyingi ww mwenyewe without kuwa dependable kwenye hiyo kitu. Else uta degrade uwezo wako wa kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…