MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
Hii gari ni TAMU na inakimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chunga unapokua 180 unaona upo 80
VW Golf GTI funga kazi😊Ndege ya chini😀
Bei gani hiyo?Naikubali sana hii gari. Ila VW G msouth kawaua wajapani, hakuna cha mark X wala Crown
Crown sio Gari ya mpito kama unavyofikiria, Crown imeanza kutengenezwa tangu mwaka 1959 na ni flagship of Toyota kwa Sedan cars, kule Japan inatumika sana kusafirishia viongozi wa serikali na hutumika kama patrol car kwa jeshi la polisi. Driving habits ndio inayoua watu usipofata sheria za barabarani na ushamba mwengine mwengine huko barabarani gari yoyote ile itakusababishia kifo. Sehem kubwa ya barabara za Tanzania sio salama sana kuendesha kwa over 150km/hr.Mark x, Alteza, Subaru, Brevis na Sasa hivi Crown Athletic! Makaburi ya vijana yanayotembea!
A Precision craftmanship 228hp doubleturbo charged engine, wenyewe wanaiita 2021 GOLF "HOT" GTI kwa bei ya $200,940 mzee baba. Sasa i convert hayo madola kwa pesa zetu za madafu kwa rate ya leoBei gani hiyo?
Nakubaliana nawe mkuu na wajapan wanazipromote sana kwa comfortability yake.Crown sio Gari ya mpito kama unavyofikiria, Crown imeanza kutengenezwa tangu mwaka 1959 na ni flagship of Toyota kwa Sedan cars, kule Japan inatumika sana kusafirishia viongozi wa serikali na hutumika kama patrol car kwa jeshi la polisi. Driving habits ndio inayoua watu usipofata sheria za barabarani na ushamba mwengine mwengine huko barabarani gari yoyote ile itakusababishia kifo. Sehem kubwa ya barabara za Tanzania sio salama sana kuendesha kwa over 150km/hr.
NB: Gari kama Crown comfortability yake na utulivu wake barabarani ata unapokuwa 180km/hr unajiona kama upo 80km/hr na hapo ndio tatizo linapoanzia
😄😄 Umaskini mbaya Sana aisee.Jini hilo ndugu yake na Mark x
228hp? Ndogo Sana mbona na bila Shaka price yake unamanisha $20,000's hapo na sio hio ulivyoandika.A Precision craftmanship 228hp doubleturbo charged engine, wenyewe wanaiita 2021 GOLF "HOT" GTI kwa bei ya $200,940 mzee baba. Sasa i convert hayo madola kwa pesa zetu za madafu kwa rate ya leo
Mbaya sana aiseee!! unafanya watu wanaogopa vitu vizuri. Tena masikini ata ukimpa Vitz ya cc990 atashusha vioo atakwambia AC inaongeza ulaji wa mafuta.😄😄 Umaskini mbaya Sana aisee.
Crown Athlete inauzwa $200,000 ?kwa bei ya $200,940 mzeeT" baba. Sasa i convert hayo madola kwa pesa zetu za madafu kwa rate ya leo
Huyo Alikuwa anaongelea GOLFCrown Athlete inauzwa $200,000 ?
Hebu nionyeshe umepata wapi hiyo habari
Hahaahaha ni shida!Sisi wenye 3s-Fe hatuwaziii mafutaMbaya sana aiseee!! unafanya watu wanaogopa vitu vizuri. Tena masikini ata ukimpa Vitz ya cc990 atashusha vioo atakwambia AC inaongeza ulaji wa mafuta.