Jamani Crown Athlete ni kali

Jamani Crown Athlete ni kali

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,281
Reaction score
1,251
Hii gari ni TAMU na inakimbia

toyota-crown-athlete-xii-s180-facelift-2005.jpg
 
Mark x, Alteza, Subaru, Brevis na Sasa hivi Crown Athletic! Makaburi ya vijana yanayotembea!
Crown sio Gari ya mpito kama unavyofikiria, Crown imeanza kutengenezwa tangu mwaka 1959 na ni flagship of Toyota kwa Sedan cars, kule Japan inatumika sana kusafirishia viongozi wa serikali na hutumika kama patrol car kwa jeshi la polisi. Driving habits ndio inayoua watu usipofata sheria za barabarani na ushamba mwengine mwengine huko barabarani gari yoyote ile itakusababishia kifo. Sehem kubwa ya barabara za Tanzania sio salama sana kuendesha kwa over 150km/hr.
NB: Gari kama Crown comfortability yake na utulivu wake barabarani ata unapokuwa 180km/hr unajiona kama upo 80km/hr na hapo ndio tatizo linapoanzia
 
Nakubaliana nawe mkuu na wajapan wanazipromote sana kwa comfortability yake.
 
Back
Top Bottom