you have logic
Kaunga, mimi i believe in your theory. But to me extent of pleasure at climax is just the same so long as i love the person. But also nafikir ni utundu tu wa mtu ila si amin kama kuna mtu mtam zaid ya mwingine
mpaka naingia kwenye ndoa, nimefanya uzinzi na watu 9. kati ya hao, wa kwanza mpaka wa tano, nilifanya kwa woga, hivyo no enjoyment at all, halafu kwa sababu ya ugeni ile kuzama tu, nisha toa wazungu. na ni bao moja, baada ya hapo namchukia sana, najichukia kwa kuona ataniambukiza ukimwi.
wa sita, nilifanya naye nikiwa confatable kidogo, lakini hata hivyo nilikuwa nawahi kutoa wazungu, ila nilienjoy na yeye kuliko waliotangulia.
wa sita nilifanya naye kwa mhemko pia, na tulipima ndo tukaanza kutunguana. kwa mara ya kwanza nilipata mchubuko kwa shuguli ilivyokuwa pevu, sio kwa sababu sijamwandaa, bali nilimwandaa, lakini yeye katoa wazungu wake mimi bado hadi kwake kukawa pakavu.
wa saba, na ambaye ndiye mke wangu, alikuwa wa moto sana, na nilifurahia kuzini naye mpaka nikadharau za hao wote waliotangulia, yuko tofauti kabisa. na ukiniuliza kuwapanga huyu ni mtamu kuliko wote.
wa nane nilifanya naye tu, kwa kuwa alibana, na nilitumia kondomu kwa kuwa sikumwamini, na kwa vile sikumtongoza mimi bali yeye alinitongoza, sikufurahia kukimbia naye(kutembea naye)
wa tisa huyu alikuwa bomu kabisa, pamoja na kwamba nilimtamani kuliko huyu ambaye ni mke wangu, akanizingua, kuna kipindi nililala naye kitanda kimoja, tukiwa uchi lakini akakataa kukimbia eti mpaka ndoa, nilipokuja kumkamata, niligundua kwa nini alinigomea. kwanza alikuwa wa baridi, halafu kina cha **** yake kilikuwa kifupi, hivyo nikiweka cassava langu lilikuwa halizami sana hata kama nikifikia orgasim, still sikufurahia kwa lolote. nilidhani labda kwa kuwa leo kaniruhusu hivyo ni hofu yangu, lakini nilikimbia naye mara tatu, hali ikawa ileile. wa baridi tu, japokuwa alionesha kunipenda kuliko wote.
sikupenda kitu yake, na aliwahi kunihadithia alibakwa akiwa mdogo, hivyo maumivu aliyoyapata yalimfanya uwachukie wanaume japokuwa mimi alisema ananipenda sana. hivyo kwa yeye kuwa wa baridi, nadhani ni kwa kuwa alifanyiwa kitu kibaya na madume mafedhuli huko pande za morogoro.
baada ya kuona nahangaika sana, nilirudi kwa yule mtamu, ambaye sasa ni mama wa mtoto wangu mmoja. kweli vitu hivi vinazidiana.
na watu hawa tisa ni kuanzia 2002 nikiwa kidato cha pili mpaka 2011, nilipoamua kuoa. na mpaka sasa natamani wanawake, lakini siwezi shawishika kukimbia nao, kwa kuwa naamini sio watamu kama mke wangu mpenzi.