Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani naumia hadi kuchani!
Jamani mke wangu,jiamini kuhisi kwangu baridi ni kwa sababu nakumbuka mauno yako na kile kilio chako..Lol!
tatizo Bazazi umezidi kuzurura sana,
tangu tarehe 07/06 Bazazi alikuwa wilayani Mpwapwa Jimbo la KIBAKWE maeneo ya milimani kama WOTTA, LUFU, GALIGALI na MATONYA. Huko ni nje ya mtandao. Kwa kweli wa kulaumiwa sio mimi ni Mfumuko wa bei wa CCm ndio unanifanya niwe mzururaji.
Lakini napenda kujua nini hapo zaidi ya kutofungwa kwa zip, nokia ya tochi na mipasuo kila mahali?
Bazazi ni Bazazi!
no nilikuita uone aina ya akina dada ambao wapo kwa mtazamo wangu finyi tu hawa ndio tunao tegemea wazae watoto wawalee sasa kwa aina hii ya mwonekano pana kitu hapo? na kwa maisha ya mtanzania kujizira kwa namna hiyo ndo kuonekana uko juu au ninini? anyway nilikuita pia kwakua wewe uliwah kucomment kwenye post yangu moja kuwa wanawake tunajidhalilisha enewe so siwez kuwatetea, hivyo nkataka uproove sentensi yako kuwa uko right
Ni kweli mwanajamii na hasa wale wanawake wanaojisafisha sana sehemu za starehe huwa sio watamu Kabisaaa kwani huwa wanaondoa ule uhalisia Wa sehemu yenyewe (mnato),maana wengine wanaingiza kidole mpaka ndani kabisa karibu na Kizazi wakidhani ndio usafi Kumbe wanaharibu mazingira.
Wana MMU polen kwa ujenzi wa taifa na hongereni kwa mapumziko ya jioni.
wapendwa hebu tudadavue hapa ni kweli kwamba hii dhana ya mtu fulan ni mtamu au siyo mtamu kunako majamboz ni kweli? mathalan utaskia wakaka wengi wakidai demu fulan mtamu sana sasa mimi hapa huwa nashindwa kuelewa kitu kwani extent ya pleasure unayoipata wakati wa climax inatofauti from one person to another?
na je kwa wadada eti kuna tofauti kweli kati ya mkaka na mkaka katika kutoa raha provided kuwa orgasm utaifikia?
hongera lakini nikuulize swali la kizushi BB sasa utawezaje kula mboga hiyo hiyo kila siku?
Umejifunza wapi kama hiyo kitu inafananishwa na mboga. Usipaite mbogo rafiki, hapo ni mahali patakatifu, ukiwa unapachezea utazaa mashetani.
BB mbona that is nahau? au wengine wanaita idiom sijui........... to me nafikir waweza nielewa nilichomaanisha. Na je ni kweli ukichezea utazaa mashetani? kwan binadam anaweza zaa mashetani? na kwanini uzae hayo kwani kusema hivyo kunahusiana vipi na mashetani? yaani nitafurah sana ukinijibu.
hongera lakini nikuulize swali la kizushi BB sasa utawezaje kula mboga hiyo hiyo kila siku?