Jamani dhana hii ni kweli kunako 6*6?

Jamani dhana hii ni kweli kunako 6*6?

Jamani mke wangu,jiamini kuhisi kwangu baridi ni kwa sababu nakumbuka mauno yako na kile kilio chako..Lol!

We nidanganye tu; halafu hiyo comment ilikuwa very honest kwani mwili ulisisimka na flow ya damu ikawa inakimbilia downwards.

Ujue kuna kucheat kwa mawazo, maneno, matendo na kutonitimizia mimi! LOL
 
Aaah!My love Kaunga,usihofu kabisa mwenye access na huu mwili ni wewe tu hakuna mwingine kabisa,we nenepa tu!
 
gfsonwin! Mbona sionikitu zaidi ya FULAIZI kuwa wazi na simu ya NOKIA ya tochi? Kuna nini kwani
tatizo Bazazi umezidi kuzurura sana, ungekuwepo hapa siku ya tuko ungejonea mwenyewe bana.
 
Last edited by a moderator:
tatizo Bazazi umezidi kuzurura sana,

tangu tarehe 07/06 Bazazi alikuwa wilayani Mpwapwa Jimbo la KIBAKWE maeneo ya milimani kama WOTTA, LUFU, GALIGALI na MATONYA. Huko ni nje ya mtandao. Kwa kweli wa kulaumiwa sio mimi ni Mfumuko wa bei wa CCm ndio unanifanya niwe mzururaji.

Lakini napenda kujua nini hapo zaidi ya kutofungwa kwa zip, nokia ya tochi na mipasuo kila mahali?

Bazazi ni Bazazi!
 
no nilikuita uone aina ya akina dada ambao wapo kwa mtazamo wangu finyi tu hawa ndio tunao tegemea wazae watoto wawalee sasa kwa aina hii ya mwonekano pana kitu hapo? na kwa maisha ya mtanzania kujizira kwa namna hiyo ndo kuonekana uko juu au ninini? anyway nilikuita pia kwakua wewe uliwah kucomment kwenye post yangu moja kuwa wanawake tunajidhalilisha enewe so siwez kuwatetea, hivyo nkataka uproove sentensi yako kuwa uko right
 
kwa kuacha zipu wazi ni kutotosha. No more comment
 
Ni kweli mwanajamii na hasa wale wanawake wanaojisafisha sana sehemu za starehe huwa sio watamu Kabisaaa kwani huwa wanaondoa ule uhalisia Wa sehemu yenyewe (mnato),maana wengine wanaingiza kidole mpaka ndani kabisa karibu na Kizazi wakidhani ndio usafi Kumbe wanaharibu mazingira.

Mkuu wa Kaya, wanaita kutoa utoko. Unajua sio suala la kuondoa mnato tu, bali ni khatari sana kwa afya. Usafi wa aina hiyo (kutoa utoko) unachangia kwa kiasi kikubwa wanawake kupata kansa ya kizazi. Wahimize waache kabisa!! Mbaya zaidi wengi wamefundishwa toka watoto eti ndo njia ya kujisafisha kwa mwanamke
 
Wana MMU polen kwa ujenzi wa taifa na hongereni kwa mapumziko ya jioni.

wapendwa hebu tudadavue hapa ni kweli kwamba hii dhana ya mtu fulan ni mtamu au siyo mtamu kunako majamboz ni kweli? mathalan utaskia wakaka wengi wakidai demu fulan mtamu sana sasa mimi hapa huwa nashindwa kuelewa kitu kwani extent ya pleasure unayoipata wakati wa climax inatofauti from one person to another?

na je kwa wadada eti kuna tofauti kweli kati ya mkaka na mkaka katika kutoa raha provided kuwa orgasm utaifikia?

Mi sijui! nilijaribu mmoja na huyohuyo ndio nikaoa.
 
hongera lakini nikuulize swali la kizushi BB sasa utawezaje kula mboga hiyo hiyo kila siku?

Umejifunza wapi kama hiyo kitu inafananishwa na mboga. Usipaite mbogo rafiki, hapo ni mahali patakatifu, ukiwa unapachezea utazaa mashetani.
 
Umejifunza wapi kama hiyo kitu inafananishwa na mboga. Usipaite mbogo rafiki, hapo ni mahali patakatifu, ukiwa unapachezea utazaa mashetani.

BB mbona that is nahau? au wengine wanaita idiom sijui........... to me nafikir waweza nielewa nilichomaanisha. Na je ni kweli ukichezea utazaa mashetani? kwan binadam anaweza zaa mashetani? na kwanini uzae hayo kwani kusema hivyo kunahusiana vipi na mashetani? yaani nitafurah sana ukinijibu.
 
Hapo ni mahali patakatifu, na ni ruhusa tu pale utapokuwa umefunga ndoa takatifu, hivyo inakuwa ruhusa mbele ya jamii na mbele ya Mungu kufanya na huyo Mtu ambaye umefunga naye ndoa. Kinyume cha hapo unaharibu huo utakatifu na kumruhusu shetani kutawala hiyo sehemu yako. Na ndio mana watu ambao wameweza na wanalinda huo utakatifu wameweza kuzaa watoto wenye hekima na busara. Kinyume cha hapo utakuwa unaendelea kuwatia nuksi za maisha watoto wako ulio wazaa na unaotarajia kuwazaa. Kama ukiheshimu na kuujali huo utakatifu na Mungu atakubali wewe na vizazi vyako.
 
hongera lakini nikuulize swali la kizushi BB sasa utawezaje kula mboga hiyo hiyo kila siku?

Dhana hii ilikuja baada ya baadhi ya wanandoa kudai kuwa wanawakinai wanandoa wao!Tatizo ni wao(wanandoa)kutokujua hasa nini kinasababisha hali hii.Tatizo likaongezeka pale ikawa inadhaniwa suluhu ambayo siyo!
 
Back
Top Bottom