Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,311
utamu.....mwili msafi
mwili una afya..
mwili umetunzwa vizuri..
mwili uko kwenye 'zone ya sex'...
unavutiwa nae pia
Mimi naweza sema, fulani nampenda kuliko fulani!
Na kwa ninaye mpenda love making inakuwa tamu. Maumbile ya sex organ hayahusiki sana, ingawa huge inaumiza; ndogo kama mwenye nayo anajua kuitumia haina shida. Kwangu kumpenda ndiyo determinant
it doesn't make any difference but i like whatever comments you give about these issues. i think your wife will be the most luckiest woman in this life. Am praying that ibilisi asije akaubadili utu wako wa ndani. you are a very good Boy(man). you have principles. take care and all the best.
maneno kuntu hayo cartura wanasema ......... 'can you practice what you preach?'
dah! na siku zote pragmatism is real ukicompare na idealistic theories but watu huwa wanashindiwa hapo in real life. good resoning cartura
Wana MMU polen kwa ujenzi wa taifa na hongereni kwa mapumziko ya jioni.
wapendwa hebu tudadavue hapa ni kweli kwamba hii dhana ya mtu fulan ni mtamu au siyo mtamu kunako majamboz ni kweli? mathalan utaskia wakaka wengi wakidai demu fulan mtamu sana sasa mimi hapa huwa nashindwa kuelewa kitu kwani extent ya pleasure unayoipata wakati wa climax inatofauti from one person to another?
na je kwa wadada eti kuna tofauti kweli kati ya mkaka na mkaka katika kutoa raha provided kuwa orgasm utaifikia?
Young_Master na hiyo avatar ni picha halisi au? manake unaonekana mdogo lkin una mambo.........lol1tuyaache kwanza manake nisije nikaambiwa kibibi amtaka mjukuu bure.Naam ni kweli mkuu, tofauti ipo sana mabayo inasababisha mtu flani aonekane mtamu kitandani kuliko mtu flani au aonekane mtundu zaidi kunako sita kwa sita kuliko mtu flani na hii inatokana na mambo yafuatayo:-
- Uandaaji kabla ya hilo tendo - kitu cha kwanza kabisa ambacho huwa kinasababisha kuleta utamu katika tendo la ndoa ni jinsi ya kumuandaa mpenzi wako kabla ya hilo tendo. Jinsi utakavyomwandaa mwezi wako kwa either kumtomasa hapa, kumyonya hapa na pale kabla ya kuanza tendo la ndo kunachangia tena kwa kiasi kubwa kuweza kumridhisha mpenzi wako na kumfikisha climax wakati wa tendo la ndoa lakini pamoja na kujinfunza namna ya kumuandaa mpenzi wako katika makala mbali mbali huwa tunasahau kitu kimoja nacho ni kumpa mpenzi wako kile ambacho yeye nakihitaji na sicho ambacho wewe umekisoma au ambacho wewe umekiona kwenye makala flani maana binadamu tunatofautiana, anachokipenda huyu sicho ambacho nitakipenda mimi na ambacho nakipenda mimi sicho amabacho anakipenda huyu. Ni jukumu lako wewe kuweza kumsoma mpenzi kwa kumdadisi na kufuata mirindimo (beats) wakati wa uandaaji ili kujua ni kitu gani ambacho mpenzi wako anapenda kufanyiwa na namna bora ya kuboresha ufanywaji huo ili uweze kumdatisha mpenzi wako zaidi na zaidi.
- Ufanywaji wa tendo hilo - Kwa kweli katika hii dunai ya sasa na katika utafiti wangu niliokuwa naufanya kwa miaka kadhaa nimegundua kuwa watu wengi huwa tunakosea na kuwa wabinafsi sana katika kipengele hiki.Wengi wetu huwa tunajisahau na kujikuta tunafanya vule tutakavyo sisi kwa malengo ya kujiridhisha wenyewe na nimegundua pia hali hii huwa inachangiwa na kudanganywa na movie za ngono ambazo kiukweli badala ya kijifunza huwa tunajikuta tunaharibu kwa kiasi kikubwa sana. Kwa mfano, unaweza kukuta mwenzi wako anapenda ufanywaji wa taratibu lakini kwa sababu wewe umeona kwenye movie, kusikia kwa watu au kw sababu unapenda ufanywaji huo wa haraka haraka basi unataka kumpelekesha mpenzi wako mapigo hayo hayo. Nakwambia ukifanya hivyo utakuwa umeharibu tena sana. Ni vyema kuchunguza na kumdadisi mpenzi ili uweze kujua mpenzi wako anapenda ufanywaji wa aina gani mapema badala ya kudandia tena mapema na kama hawezi kukwambia basi jukumu lako wewe kuweza kutafuta namna ya kujua miondoko anayoipenda katika tendo hilo.
- Ubunifu katika tendo hilo - Kama mjuavyo ngono ni sanaa kama zilivyo sanaa nyingine hivyo nayo pia yaihitaji ubunifu. Kila mmoja wenu anapaswa kubuni njia mpya za ufanywaji na kumridhisha mpenzi wako badala ya kuwa unarudia ufanywaji wa ule wa kila siku hali inayoweza kupelekea mpenzi wako kuchoka kutamani kufanya tendo hilo na endapo ikitokea mtu mwingine ambaye atampa mambo matamu kuliko ambayo uliyokuwa unampa wewe basi kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuweza kukuacha na kwenda kwa huyo mtu mwingine ili aendelee kupata hayo mambo adimu ambayo alikuwa hayapati kutoka kwako.
Young_Master na hiyo avatar ni picha halisi au? manake unaonekana mdogo lkin una mambo.........lol1tuyaache kwanza manake nisije nikaambiwa kibibi amtaka mjukuu bure.
uliyo yaeleza umeyaeleza kwa umakini sana na umeeleweka vizuri sana, ila mbona mimi nimeona kana kwamba tofauti iko kwenye ufundi tu? lakin ufikaji wa climax raha yake ni moja yaani haitofautiani?
Ndio gfsonwin. Hiyo picha ndio sura na muonekano wangu halisi. Ndio raha ya ufikaji wa climax raha yake huwa ni the same. Lakini kama hayo mambo niliyoyaeleza hapo juu yakizingatiwa ipasavyo yanaweza kuongeza na raha/utamu wa kufika climax na pia yanaweza kumsaidia mwenzi wako kuweza kufika climax mapema. Umenielewa mama? kama utakuwa na swali jingine usisite kuniuliza.
naiamini shule yangu sana kwa %kubwa sana. it came that way into ma mind so i just said naongea na muhusika mkuu.anyway, ahsante kwa somo lako zuri sana. sasa nenda kasme thread nimeipost leo juu ya ni j2 leo hebu turkebishe ndoazetu? ukachangue hapo.
Ni kweli mwanajamii na hasa wale wanawake wanaojisafisha sana sehemu za starehe huwa sio watamu Kabisaaa kwani huwa wanaondoa ule uhalisia Wa sehemu yenyewe (mnato),maana wengine wanaingiza kidole mpaka ndani kabisa karibu na Kizazi wakidhani ndio usafi Kumbe wanaharibu mazingira.