Jamani dhana hii ni kweli kunako 6*6?


Sasa huyo asiyefikia vigezo unavyotaka ulitongozewa?
 
Thank you....bado asubuhi ndo maana...au pengine nimekuelewa zaidi ulichotaka..wareva:coffee:

Tupo ukurasa mmoja
Kaizer so kahawa imekuchangamsha but ikiwa ni jion ushapata kaizer yako mambo ni tofauti kabisa au siyo.............mmmh! wewe.
 
Last edited by a moderator:
mi naona utundu unafanya raha iongezeke, cos kuna wanaosoma gazeti wanalaumiwa na wanao nengua viuno wanapendwa, so tofauti ipo hata size ya mhogo inachangia
 

sasa gfsonwin, kama Asprin na Kongosho walikuwa barabara ya 12 huko Tanga nadhani sisi tuende next level iwe ya 18 ndo mambo yote, tufikishane orgasm biologically
 
Last edited by a moderator:
You know I cant say it here Kaunga so please dont hook me up yet....hivi weekend hii si tutakuwa na maungamo ama ndo kwanza unajaribu 'dhambi' mpya?:coffee:

Weekend hii na zote zinazofuata nitakuwa na wangu Eiyer tukivinjari kwenye beach za mwanza na kutafuta matunda porini. gfsonwin ana hamu ya kuja kufanya maungamo kwako maana she real needs help. I know how good you are at that, so dont disappoint my friend.

Halafu Erotica (sikutakiwa kusema hili but nimeshidwa kujizuia), yupo Antananarivo na Invisible she is checking him out kama anaweza kuwa mume mzuri; of course sex is not involved.
 
Last edited by a moderator:
sasa gfsonwin, kama Asprin na Kongosho walikuwa barabara ya 12 huko Tanga nadhani sisi tuende next level iwe ya 18 ndo mambo yote, tufikishane orgasm biologically
Kaizer umeona eeh! yaani mimi ni wako tu, nakupendaje jamani? wasitudoboleshee mapenzi yao sasa waje waone. kwako wee moyo umekufa hata waseme Asprin na Kongosho sisi bado twapendana tu na tupo ili kupeana raha. Hata Kaunga kasema, wewe ni mzuri sana.
 
Last edited by a moderator:
Actually every person is differ from another.Na hii nikutokana na umbaji wa mungu mwenyewe,utamu wa mtu na mtu kutokua mtamu inatokana na mtu kuitambua au kutoitambua special unique yake aliopewa na mungu.
 
AMEEEEEN

Hivi hommie Kaizer, kama leo ni ijumaa si inamaana kesho ni jumamosi siyo?
Kaizer asikusumbue huyu kwani hana kalenda nyumbani kwake hana lolote. Mimi na wewe kesho asubuh tu tuko pamoja tule raha zetu bwana si unajua mambo ya wkend? nitakupa raha na najua utanipa raha nifikie biological orgasm siyo haya mafeki ya vitoto wa siku hizi.
 
Last edited by a moderator:

Mara ya tatu anakunyanyua tena dirishani anakuambia tema mate akikurudisha chini tayari mwepesiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
 
Actually every person is differ from another.Na hii nikutokana na umbaji wa mungu mwenyewe,utamu wa mtu na mtu kutokua mtamu inatokana na mtu kuitambua au kutoitambua special unique yake aliopewa na mungu.

hapa mkuu naona pana point sana has juu ya kuitambua unique feature yako uliyopewa na mungu na namna ya kuitumia. sijui kama watu wengi wanalifaham hili. manake love making haiishii kwenye kuwa na K&M ni zaid ya hapo.
 
Mara ya tatu anakunyanyua tena dirishani anakuambia tema mate akikurudisha chini tayari mwepesiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
kinyoba hizi ni hatari sana manake unaweka sindano chini ukirud inakuchoma so unamtuma akuangalizie nani anapita nje chezeya vibration weye.
 
Last edited by a moderator:
Sasa bibie gfsonwin, maadam utakuwa na Kaizer basi nifanyie mpango kwa Kaunga. Naona kama tutaendana sana. Kongosho ananibania sana siku hizi anasema eti kashazeeka hawezi tena kufika Kibo anaishia mawenzi tu.
 
Last edited by a moderator:

nakushukuru sana ma dia Kaunga kwa kunibembelezea kwa Kaizer. mimi hata kama hajui nitamfundisha tu, manake nilimfundisha Kongosho ma vibration sasa hivi Asprin anaenjoy life tu. so mm kwel namuhitaj [EMAIL=" Kaizer" Kaizer[/EMAIL] do you hear me ma swtlo....................am down to you ma baby.
 
Last edited by a moderator:
No matter what, bado nakubali wanawake wanatofautiana ladha, tena sana.

Japo siwezi kwenda into details.
 
kwa kweli utamu au uchungu wa hiyo kitu hauelezeki. kila mtu ata-sense kivyake.
 
Sasa bibie gfsonwin, maadam utakuwa na Kaizer basi nifanyie mpango kwa Kaunga. Naona kama tutaendana sana. Kongosho ananibania sana siku hizi anasema eti kashazeeka hawezi tena kufika Kibo anaishia mawenzi tu.

sasa umeona eeh! ndicho nilichokuwa na discuss kwamba kuna utundu binafsi unahtajka hapo ili kumfikisha. aisee kwa Kaunga ni big no she is engaged to Eiyer na wanaenjoy sana sitak mtu aichakachue kabisa ndoa hii. Mimi ndiye mlez wa hi ndoa so siwez hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
No matter what, bado nakubali wanawake wanatofautiana ladha, tena sana.

Japo siwezi kwenda into details.

Me agree with you Kongosho tena sana tu. Kama wewe siwezi kwenda kwenye details, nikumbuka The Boss alivyokuwa anakusema..... LOL
 

Me love a friend like you, hicho kibabu Asprin sijui nikipelekee wapi wakati nina kijana wangu wa ukwelii Eiyer pembeni. Na wewe Eiyer si nilikukataza kutoa siri za chumbani, unaona sasa hadi vibabu vinaanza kutoka udenda. Shetani akinipitia usinilaumu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…