Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,134
Tofauti ya utamu
inajengwa na hisia zako mwenyewe! fikiria mimi nnayependa mwanamke
halisi wa kibantu, mwenye makalio ya haja, mguu wa bia sura nzuri eeenh!
nikiwa na mwanamke wa dizaini hii kwa kweli siku hiyo mpini wangu
utataka hata kukatika kwa mcheche, ntajiona nimepata kitu cha uhakika na
kweli kutokana na imagination basi sex itakuwa supa. nilishawahi kuwa
na demu wa kawaida sana tu alinipenda sana tena sana lkn sikuwa na
future naye coz hakuwa na features nazozipenda.
Hata wale wanaopenda wanawake wembamba wanasisimka zaidi wakimpata yule
anayekidhi imagination zao game linakuwa barabara na kuona utamu zaidi.
Wanaume wengi tukiwa vijiweni kwetu utasikia jinsi wanaume wanavyo
imagine akiwa na mwanamke wa dizaini flani jinsi atakavyojituma, au
style gani atatumia na kuonesha jinsi ndoto zinavyojenga hisia za
binadamu. Hata Wanawake utasikia napenda mwanaume mrefu, labda mweusi,
ikitokea ampate wa dizaini hiyo anayomtaka basi game litakuwa
limeshachezwa nusu mengine ni kumalizia tuu kunako 6*6.
Sasa huyo asiyefikia vigezo unavyotaka ulitongozewa?