Jamani eeh, ninaombeni msaada wa haraka

Mmmmmmh!!! Wanaume wa Dar mnaanza kutudhalilisha wanaume wote sasa!!.....Yeye alikuambia kuwa mnunulie simu umeshindwa, sasa amestrugle amenunua simu halafu unaleta nongwa!!
 
Mmmmmmh!!! Wanaume wa Dar mnaanza kutudhalilisha wanaume wote sasa!!.....Yeye alikuambia kuwa mnunulie simu umeshindwa, sasa amestrugle amenunua simu halafu unaleta nongwa!!
Umeonaeee tatizo kashindwa kumuhudumia mwenzie kapata service provider halafu anakuja kulia lia hapa amuache aperuzi mtoto wa watu anataka atumie six button mpaka lini
 
Umeonaeee tatizo kashindwa kumuhudumia mwenzie kapata service provider halafu anakuja kulia lia hapa amuache aperuzi mtoto wa watu anataka atumie six button mpaka lini
waiii, mademu wenyewe mmejaa wengi hivyo.. nkujichagulia tuu, kama uko mtumbani(karume)
 
Muache
 
Dah... another kapuku na mtachapiwa sana tu [emoji4]
 
sijaona mahali unaonesha umemuoa. Kama ndio acha ulalamishi hujajimilikisha huyo
 
habari kaka, pole kwa majanga nami yamenikuta japo ni makubwa je umefanikiwa kusanikisha hiyo app?? je inafanya kazi au vp , ni free au ya kulipia ???!!! 0753064252 naomba unitext hapo maana mara nyingi cko online
Hyo app hamna chochote kile ila ni mzushi tu.
Labda ipo app ya ku-hack whatsapp ya mtu mwngne tu
 
sijaona mahali unaonesha umemuoa. Kama ndio acha ulalamishi hujajimilikisha huyo
Mademu wako weng hvyo nmepiga chini..
Sasa nko na demu mkaree ile mbaya ila now sijui kupenda zaidi ya kuwa na demu kistarehe tu
 
Dah... another kapuku na mtachapiwa sana tu [emoji4]
Ngoja nimle ma.ma ako ndo utaniheshimu sasa..
Vile vile hata na ww pia naweza kuku.gonga sema ni vile makondakta amekataza tusiwafollow watu km nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…