*Eti jana usiku mwizi kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabidi na mimi niamke; nikamuuliza anatafuta nini akanijibu HELA ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hata hela ya kula Jana sikuanayo alichoka nami nikachoka maana tulipekua kweli kweli; ikabidi nimuulize "una uhakika uliweka humu?" Akashangaa*
[emoji15][emoji15][emoji15]
Post sent using JamiiForums mobile app