JAMANI HALMASHAURI YA MUHEZA IMEIBIA WATUMISHI

Ila taaisi zingine mshahara unaenda na slip pamoja
Ipi hio mkuu,Elimu mishahara ni tarehe 22-25 kila mwezi na Salary slip ni tarehe 30-31 ya kila mwezi(kasoro mwezi wa pili tu ni 2😎

Sijui kama uko sahihi.
 

Pole mkuu.

Nakulaumu kwa kuwa na wema wa mshumaa,yaani unafanya kazi kwa bidii kwa kutegemea kulipwa siku ukifa na kuzikwa.

Tumia muda mwingi kwa kufanya mambo yako,hakuna mwenye nia njema nawewe hapa Tanzania.

Shuleni na darasani nenda kama ushahidi lakini wape matangopori.[/QUOTE]
Nafkir hadi kesho kuna maamuzi magumu sn ntakua nimeyafanya
 
Hili kweli janga, Yaani mkuu hakuna maelezo kwenye salary slip ?
 
Da! mie ndo nimechoka hata sina hamu kwa kweli!
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…