mtoto wa maskini
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 1,152
- 637
Ila taaisi zingine mshahara unaenda na slip pamojaMwezi huu hawezi kuwa na ushahidi hadi mwezi ujao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila taaisi zingine mshahara unaenda na slip pamojaMwezi huu hawezi kuwa na ushahidi hadi mwezi ujao.
Ipi hio mkuu,Elimu mishahara ni tarehe 22-25 kila mwezi na Salary slip ni tarehe 30-31 ya kila mwezi(kasoro mwezi wa pili tu ni 2😎Ila taaisi zingine mshahara unaenda na slip pamoja
[quote uid=394462 name="dustless" post=18168457]Habari wana jf.<br />Leo mishahara yetu isiyokuwa na ongezeko lolote tangu mwezi July imetoka. Cha ajabu Mwezi huu tumekatwa zaidi ya elfu 57 kila mmoja. Jamani tunakwenda wapiii. Hii imetokea tena kwa kada ile ile kadamizwa, yaani waalimu kama ilivyo ada kada hii ndo shamba la kujifunzia kila aina ya manyanyaso ya kila aina. Sijui kada hii tumelogwa au vipi. Sasa naomba mje mnidhamini maana moto nilionao naamini ntafungwa siku ya jumatatu coz leo si Siku ya kazi.. Natamani niende saiz nikalale halmashauri mpaka jumatatu.. Nafundisha hisabati niko peke yangu shule nzima kwa mshahara mdogo halafu bado naibiwa licha ya kuwa nalipa deni langu la bodi ya mikopo..<br />Nawasisha..
Da! mie ndo nimechoka hata sina hamu kwa kweli!Habari wana jf.
Leo mishahara yetu isiyokuwa na ongezeko lolote tangu mwezi July imetoka. Cha ajabu Mwezi huu tumekatwa zaidi ya elfu 57 kila mmoja. Jamani tunakwenda wapiii. Hii imetokea tena kwa kada ile ile kadamizwa, yaani waalimu kama ilivyo ada kada hii ndo shamba la kujifunzia kila aina ya manyanyaso ya kila aina. Sijui kada hii tumelogwa au vipi. Sasa naomba mje mnidhamini maana moto nilionao naamini ntafungwa siku ya jumatatu coz leo si Siku ya kazi.. Natamani niende saiz nikalale halmashauri mpaka jumatatu.. Nafundisha hisabati niko peke yangu shule nzima kwa mshahara mdogo halafu bado naibiwa licha ya kuwa nalipa deni langu la bodi ya mikopo..
Nawasisha..