hayo ni mambo ambayo yamekuwa ya kawaida kabisa kwa kizazi kilichopo so nothing new is just bse you saw it but there hundreds of it. na kuna notion siku hizi kuwa akina babu ndio wazuri kwa, mosi kutoa bajeti nzuri kila unapopresent ombi no objection and with surplus also they dont bother them much bse only right time and right place to meet otherwise kila mtu ana zake .zaidi ya yote si unajua akina babu ni tamaa ya macho tu akienda kimoja tu ulimi nje anaishia kulambalamba tu so no kuchoshana sana. they are more prefferable than most of you guys there, chick knows about it
dah! Sahivi vibabu vina balaa. Vibinti navyo ndio usiseme.
Kuna babu moja nakaa nalo jirani, nikimuamkia badala ya kuitikia ananikonyeza. Sijui nimfanyaje.
alikua anasubiri ushahidi babangu...dah, kidogo nidhani alikuwa kampakata mwanae,..
anyway, mwana kwako, kwa mwezio mkubwa huyo!...Oopppsss,
wajibu wako kama mzazi ulitakiwa um report boss kwa wahusika haraka iwezekanavyo.
Kwanini hukufanya hilo?!
Najaribu kuvuta hisia nani kaanzisha move......hofu yangu ni binti kuwa ndio muasisi na babu kucheza ngoma ya binti maana mabinti wa siku hizi duh, wakina fataki sometimes tunawaonea......maana kuna binti aliwahi kumuambia mzee wa watu "we huniambii kitu maana nimebeba wenye mashine zaidi yako?" sasa hapo tena!!
Ha ha ha ha. Husninyo umenichekesha!!!
kazi kwako mama, amua kusuka au kunyoa hapo.
Ila hawa mi sijui naona je yani.................
Acha tu nisiseme lakini hapana.............
We unamwonea huruma mwenzako anaona ameshinda bingo!Huyo msichana hakuwepo hapo kwa lazima kwahiyo hata isingekua bosi wako ingekua mwanaume mwingine!Maana mwenyewe anapenda na kufurahia..usishangae kujua kwamba binti ndo aliyemtega mzee kwahiyo usidhani kwa kuongea nae utakua unamsaidia inawezekana akawa hautaki msaada wako!Nwyz kama utaongea nae kua mdadisi bila kumwonyesha kwamba unadhani anahitaji mtu wa kumuokoa!Ukishajua kilichosababisha na kinachomweka ndo uamue nani wa kulaumiwa.
Uko sawa Lizzy! Inawezekana huyo mtoto anamuona LD kamuaribia siku yake, na inawezekana huo wasiwasi wa hicho kitoto kilihisi naye LD huwa unajisevia hapo.
Uko sawa Lizzy! Inawezekana huyo mtoto anamuona LD kamuaribia siku yake, na inawezekana huo wasiwasi wa hicho kitoto kilihisi naye LD huwa unajisevia hapo.
leo asubuhi kama kawaida yangu niwewahi kwenye kibarua changu, kujitafutia mkate wa kila siku.
Sasa nina kawaida ya kuchukua ufunguo wa chumba changu cha ofisi kwa boss wangu.
Kama kawaida mimi nikaenda nikagonga chumba cha ofisi ya boss, nikaingia, kuingia nikakuta kabinti ka sekondari form 4 ndani ya ofisi, na kabosi kametulia juu yake.
Nikaona aibu nikatoka nje, kale kabinti kakamchomoka bosi, kakanifuata kananiambia dada babu kaniambia nikusubirie ofisini kwake ufike uniprintie fomu ya registration ya mtihani wa form four. Nikamuuliza una miaka mingapi akaniambia miaka 16.
Sasa babu zangu mlioko huku kulikoni jamani?
Kwa nini lakini wanaume mnakuwa hivi?
Basi hata kama ni tamaa si mkawachukue hao ambao wapo tayari kwa hiyo kazi?
Mbona mwatuharibia watoto wetu?
je uliriport polisi? Polisi walichukua hatua gani? Maana kama ilikukera basi ungechua hatua ya kuwaambia polisi dakika ileile!! Hapo ningekupenda na kukusifia.
Sifa ya moyo tamaa.... moyo sifa yake kutamaniiii..........Tuliza moyo wako, kubali mapungufu yako, chunga tamaa mbaya chunga tamaa mbaya
Chukua hatua la sivyo na wewe utakuwa umeshiriki kwenye hiyo dhambi