Yani kufunga goli 2 juzi ndio kawa fundi? Usirudie tena kumfananisha L10 na mchezaji yoyote duniani. Acha kutumia nguvu kuficha ukweli maana ukweli hua haufichiki, jua kutofautisha pure talent ya Messi na wachezaji wanao tumia "maguvu" jamii ya Mmorocco.
we bwabwa naona unapend kuparatwa na huyo shoga mwenzakoPovu la nini dada
Hujui kusoma na kuelewa kiingereza?Kwana huyo Ronaldo ana kipi cha kumzidi Messi?
Kafuatilie buffon alihojiwa akasema messi ni Alien.hakuna mchezaji kama messiThe legendary. Mpaka buffon amemkubali!! Jua hata last season juve ilichezea goli kutoka kwa ronaldo!!
View attachment 736354
Nakupinga kwenye hilo MkuuAny day of the week, Ronaldo (CR7) is way better than Messi. Hata Pele analijua hilo...and Pele knows one or two things about Football at that elite level.
LetaNakupinga kwenye hilo Mkuu
Pele alishasema hakuna mchezaji kama messi,na pele anajichukulia kama mchezaji bora kuwahi kutokea duniani hivyo basi alisema kama kuna mchezaji mnataka nifananisha nae basi ni MESSI.Ukibisha sema nilete clip
You've nailed it mkuu1.Messi alishawahi funga goal 5 mechi moja ya UEFA kitu ambacho cr7 hajawahi
2.Messi amewahifunga hatrick Elclasico Ronaldo hajawahi hata kuinusa tu
3.Messi kafunga freeckick Elclasico ronaldo hajawahi
4.Messi kawa mchezaji bora wa World cup tornment cr7 hatokuwa kamwe
5.Messi ana record ya goals 90 katika mwaka mmoja Cr7 hatoweza fikisha hadi anaolewa Morocco
MESSIAH G.O.A.T
Namtaka aliyebisha kwanza akane ndio tuanze kwenda youtube kupakua mzigo tuleteLeta
Mihemko tu inawatawala wenzetuYou've nailed it mkuu
Wenger,pele,maradona,zlatan,henry,mourinho,guardiola,raul gonzalez na wachezaj kibao wanasema hakuna kiumbe kama messi.
Pique alihojiwa akasema ronaldo anaweza kufanana na messi ila kuuchukua mpira messi akiuweka mguuni mwake ni jambo ambalo sio rahisi na sijawah ona mchezaj kama huyu duniani
Nafikiri ile tik-taka imewachanganya.Mihemko tu inawatawala wenzetu
Hawawezi elewaWapumbavu na mazandiki ya soka hayawezi elewa uwezo wa LeoMessi kumbukeni he is considered as BEST PLAYER OF ALL TIME
Kwenye kufunga sina ubishi ila kuucheza sasa huo mpiraNafikiri ile tik-taka imewachanganya.
Ukiweka ushabiki pembeni na usimamie uhalisia huwezi sema hivyo.
Mimi huwa nasema ronaldo anaweza kuwa mfungaji bora lakini mchezaji bora dunia hii ni La pugba,the galaxy, Leo,atomica flea,the GOAT messi