Jamani hebu tuwe wakweli, hivi Messi ana kipi cha kumzidi Ronaldo?!

Messi anatengeneza nafasi Na anafunga

Ronaldo anafunga tu. Ila wadau wanawalinganisha wao kwa kufunga tu.

Hata hivyo

Ukilinganisha Messi Na R tangu atue Madrid Cr7,CR7 hamkuti bwana mdogo kwa Magoli
 
1.Messi alishawahi funga goal 5 mechi moja ya UEFA kitu ambacho cr7 hajawahi

2.Messi amewahifunga hatrick Elclasico Ronaldo hajawahi hata kuinusa tu

3.Messi kafunga freeckick Elclasico ronaldo hajawahi

4.Messi kawa mchezaji bora wa World cup tornment cr7 hatokuwa kamwe

5.Messi ana record ya goals 90 katika mwaka mmoja Cr7 hatoweza fikisha hadi anaolewa Morocco

MESSIAH G.O.A.T
 
Hahahahaaaaa.....duh dunia haishi vituko,yani messi una mlinganisha na ronaldo,ila bila shaka we ni Man u fan
 
Any day of the week, Ronaldo (CR7) is way better than Messi. Hata Pele analijua hilo...and Pele knows one or two things about Football at that elite level.
Nakupinga kwenye hilo Mkuu
Pele alishasema hakuna mchezaji kama messi,na pele anajichukulia kama mchezaji bora kuwahi kutokea duniani hivyo basi alisema kama kuna mchezaji mnataka nifananisha nae basi ni MESSI.Ukibisha sema nilete clip
 
1.Messi alishawahi funga goal 5 mechi moja ya UEFA kitu ambacho cr7 hajawahi

2.Messi amewahifunga hatrick Elclasico Ronaldo hajawahi hata kuinusa tu

3.Messi kafunga freeckick Elclasico ronaldo hajawahi

4.Messi kawa mchezaji bora wa World cup tornment cr7 hatokuwa kamwe

5.Messi ana record ya goals 90 katika mwaka mmoja Cr7 hatoweza fikisha hadi anaolewa Morocco

MESSIAH G.O.A.T
You've nailed it mkuu
Wenger,pele,maradona,zlatan,henry,mourinho,guardiola,raul gonzalez na wachezaj kibao wanasema hakuna kiumbe kama messi.
Pique alihojiwa akasema ronaldo anaweza kufanana na messi ila kuuchukua mpira messi akiuweka mguuni mwake ni jambo ambalo sio rahisi na sijawah ona mchezaj kama huyu duniani
 
Mihemko tu inawatawala wenzetu
 
Mihemko tu inawatawala wenzetu
Nafikiri ile tik-taka imewachanganya.
Ukiweka ushabiki pembeni na usimamie uhalisia huwezi sema hivyo.
Mimi huwa nasema ronaldo anaweza kuwa mfungaji bora lakini mchezaji bora dunia hii ni La pugba,the galaxy, Leo,atomica flea,the GOAT messi
 
Kwenye kufunga sina ubishi ila kuucheza sasa huo mpira

Messi noma
 
Back
Top Bottom