Jamani hebu tuwe wakweli, hivi Messi ana kipi cha kumzidi Ronaldo?!

Hiyo mchezaji bora wa mashindano ya dunia kachukua lini na yapi maana hii sijawai isikia?
 
Hiyo mchezaji bora wa mashindano ya dunia kachukua lini na yapi maana hii sijawai isikia?
2014 ulikuwa bado hujazaliwa?

Au wewe ni kuku wa kizungu unakua for two weeks?
 
Wapumbavu na mazandiki ya soka hayawezi elewa uwezo wa LeoMessi kumbukeni he is considered as BEST PLAYER OF ALL TIME
Best in his genaration not all time, mostly we didn't know what past was and what will come in next generation.
 
Acheni kumfananisha messi na vitu vya ajabu
 
hahaaaa
 
mtoa mada hana akili ...amerogwa sio mzima ...yaani kama ronaldo ni bora "" mbona amekuwa ana haha sasa ili aweze kujicompare na messi ""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…