Jamani hebu tuwe wakweli, hivi Messi ana kipi cha kumzidi Ronaldo?!

Jamani hebu tuwe wakweli, hivi Messi ana kipi cha kumzidi Ronaldo?!

1.Messi alishawahi funga goal 5 mechi moja ya UEFA kitu ambacho cr7 hajawahi

2.Messi amewahifunga hatrick Elclasico Ronaldo hajawahi hata kuinusa tu

3.Messi kafunga freeckick Elclasico ronaldo hajawahi

4.Messi kawa mchezaji bora wa World cup tornment cr7 hatokuwa kamwe

5.Messi ana record ya goals 90 katika mwaka mmoja Cr7 hatoweza fikisha hadi anaolewa Morocco

MESSIAH G.O.A.T
Hiyo mchezaji bora wa mashindano ya dunia kachukua lini na yapi maana hii sijawai isikia?
 
Wapumbavu na mazandiki ya soka hayawezi elewa uwezo wa LeoMessi kumbukeni he is considered as BEST PLAYER OF ALL TIME
Best in his genaration not all time, mostly we didn't know what past was and what will come in next generation.
 
jaji;nani mkubwa kuliko mwenzake kati yenu?
Ronaldo;mimi
jaji ; je, ni nani aliefunga magoli mengi zaidi katika historia ya mechi baina ya timu zenu?
Ronaldo;Messi
jaji; haya nimeshawasikiliza sana je kwe mashindano ya mwaka huu kombe la dunia mnategemea kuzifikisha timu zenu wapi?
messi;aah mimi kama last time tu ntaifikisha fainali natumain tutachukua mwaka huu
ronaldo;aah mimi jaji kwakweli huko sio level yangu mahisi tutatoka kwe makundi au round ya mtoano tukijitahidi sana yani kama last time tu
jaji; aya kuanzia leo ronaldo unahukumiwa kifungo cha nje ukafagie nyumban kwa messi na kumsaidia kazi antonella
hahaaaa
 
1.Messi alishawahi funga goal 5 mechi moja ya UEFA kitu ambacho cr7 hajawahi

2.Messi amewahifunga hatrick Elclasico Ronaldo hajawahi hata kuinusa tu

3.Messi kafunga freeckick Elclasico ronaldo hajawahi

4.Messi kawa mchezaji bora wa World cup tornment cr7 hatokuwa kamwe

5.Messi ana record ya goals 90 katika mwaka mmoja Cr7 hatoweza fikisha hadi anaolewa Morocco

MESSIAH G.O.A.T
mtoa mada hana akili ...amerogwa sio mzima ...yaani kama ronaldo ni bora "" mbona amekuwa ana haha sasa ili aweze kujicompare na messi ""
 
Back
Top Bottom