Jamani hebu tuwe wakweli, hivi Messi ana kipi cha kumzidi Ronaldo?!

Hyo ni court gani?

Na sijaona Ronaldo ana kipi cha kumzidi messi pia.
 
Tena wakome na wakalale..
 
Messi(Simba/yanga) Ronaldo(njombe mji/ruvu shooting).wapi patamfaa zaidi cr7 majimaji au.
 
Aya watoto wa Messi Andunje! Endeleeni kutoa mapovu!
 

Attachments

  • GBWA-20180404223609.jpeg
    67.1 KB · Views: 35
Nakupinga kwenye hilo Mkuu
Pele alishasema hakuna mchezaji kama messi,na pele anajichukulia kama mchezaji bora kuwahi kutokea duniani hivyo basi alisema kama kuna mchezaji mnataka nifananisha nae basi ni MESSI.Ukibisha sema nilete clip
Waambie hao, waliomuuliza wakimtega, walimuuliza kwenye kukosi chake cha wachezaji 11, angependa awe na Messi au hiyo CR, akasema Messi angekuwepo kwenye timu yake, kumbuka Pele hakuwa mtu wa kusubiri mpira kwenye box .
 
Messi is talented, Ronaldo ana mazoezi mengi.
Sasa hiyo Ina tija au hasara gani na kwa Nani? Hivi bila kipaji utacheza soka uwe Bora? Ronaldo ataishia maisha kama ya binadamu yeyote ,anajirusha,anat......ba,nk na bado yuko juu.Bwana mfupi yeye ni only one accupation being.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…