Ip man 3
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 677
- 558
Daaa kak umeninifurahisha sijui uliwaza nn et sufiTatizo CR akisikia mkali anahamia madrid anatangaza mkwara wa kuhama, anayaka hat trick zote apige yeye, hivi heleni wanavaa watu gani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaa kak umeninifurahisha sijui uliwaza nn et sufiTatizo CR akisikia mkali anahamia madrid anatangaza mkwara wa kuhama, anayaka hat trick zote apige yeye, hivi heleni wanavaa watu gani ?
Kwaiyo wewe upo upande gan kati ya hao watu wawili?Inasikitisha sana ukisoma comments za kuhusu hawa watu wawili,nilianza kumpenda sana Ronaldo wakati namuona pale Man U..na baadae kule Real Madrid.Kipindi namsikia Messi Messi nikasema ngoja nianze kumfuatilia.Ukiwa mtu makini sana pasipo kufuatiliwa na kusukumwa na mtu..utaona jambo ambalo na kipekee kwa hawa watu wawili.
"Ukiacha ile ya kukimbia na mpira kama mwendawazimu sijui wenyewe mnaitanga kudribble" Fuatilia vizuri mpira,kaa usome vyema nini maana ya Dribbling,role za hawa watu wawili.Tuwe tunaacha habari ambazo zina dhihirisha UPUMBAFU wa akili yako na kutokujua maana ya Mpira.Kama huwezi jua maana ya Dribbling basi huwezi pia kujua hawa watu wawili wanafanya ni kiwanjani na katika timu zao.
Acha maneno mengi andika pointInasikitisha sana ukisoma comments za kuhusu hawa watu wawili,nilianza kumpenda sana Ronaldo wakati namuona pale Man U..na baadae kule Real Madrid.Kipindi namsikia Messi Messi nikasema ngoja nianze kumfuatilia.Ukiwa mtu makini sana pasipo kufuatiliwa na kusukumwa na mtu..utaona jambo ambalo na kipekee kwa hawa watu wawili.
"Ukiacha ile ya kukimbia na mpira kama mwendawazimu sijui wenyewe mnaitanga kudribble" Fuatilia vizuri mpira,kaa usome vyema nini maana ya Dribbling,role za hawa watu wawili.Tuwe tunaacha habari ambazo zina dhihirisha UPUMBAFU wa akili yako na kutokujua maana ya Mpira.Kama huwezi jua maana ya Dribbling basi huwezi pia kujua hawa watu wawili wanafanya ni kiwanjani na katika timu zao.
AsanteeeeWaambie hao, waliomuuliza wakimtega, walimuuliza kwenye kukosi chake cha wachezaji 11, angependa awe na Messi au hiyo CR, akasema Messi angekuwepo kwenye timu yake, kumbuka Pele hakuwa mtu wa kusubiri mpira kwenye box .
At the end of the day wote ni wachezaji wakubwa na wame pata mafanikio mbalimbali.Sasa hiyo Ina tija au hasara gani na kwa Nani? Hivi bila kipaji utacheza soka uwe Bora? Ronaldo ataishia maisha kama ya binadamu yeyote ,anajirusha,anat......ba,nk na bado yuko juu.Bwana mfupi yeye ni only one accupation being.
Mkuu!!! Mesi alchoziwa na ronaldo umalaya na umr....alaf tena Mess kamzid kila kitu ronaldo!!!!! Mbona usomeki!We umeweka utan ila mess alichozidiwa na ronaldo ni umalaya na umri ila messi kamzid jamaa karib kila kitu mpk ndoa