The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Jamani naona kama upepo umegeuka ghafla sisikii tena kishindo cha no reform no election kama ilivyokuwa siku chache zilizopita.
Badala yake kumeibuka mjadala mkubwa sana juu ya watia nia na zoezi la kuchukua na kurudisha form.
Je hii inaweza kuwa uthibitisho kuwa chadema walikosea kuchanga kalata zao kwa huu msimamo?