The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Waswahili husema wimbo wa kujifunza hauleshi ngomani!!Jamani naona kama upepo umegeuka ghafla sisikii tena kishindo cha no reform no election kama ilivyokuwa siku chache zilizopita.
Badala yake kumeibuka mjadala mkubwa sana juu ya watia nia na zoezi la kuchukua na kurudisha form.
Je hii inaweza kuwa uthibitisho kuwa chadema walikosea kuchanga kalata zao kwa huu msimamo?
Jamani naona kama upepo umegeuka ghafla sisikii tena kishindo cha no reform no election kama ilivyokuwa siku chache zilizopita.
Badala yake kumeibuka mjadala mkubwa sana juu ya watia nia na zoezi la kuchukua na kurudisha form.
Je hii inaweza kuwa uthibitisho kuwa chadema walikosea kuchanga kalata zao kwa huu msimamo?
Kumbe na we hamnazo, ulikuwa unasikiliza misukule na nyumbu?Jamani naona kama upepo umegeuka ghafla sisikii tena kishindo cha no reform no election kama ilivyokuwa siku chache zilizopita.
Badala yake kumeibuka mjadala mkubwa sana juu ya watia nia na zoezi la kuchukua na kurudisha form.
Je hii inaweza kuwa uthibitisho kuwa chadema walikosea kuchanga kalata zao kwa huu msimamo?
komando hamza kalala.Kuna mwanamziki aliimba, "Uliona wapi ngozi ya kitomoto ikawamba Ngoma"?
🤣 🤣 🤣Kuna mwanamziki aliimba, "Uliona wapi ngozi ya kitomoto ikawamba Ngoma"?
Hivi mnadhani bila msaada wa zuio la mahakama hata hotuba jana isingefuatiliwa unazani zuio lilikuja bahati mbaya?Jamani naona kama upepo umegeuka ghafla sisikii tena kishindo cha no reform no election kama ilivyokuwa siku chache zilizopita.