Herbalist Mtaturu
Senior Member
- Aug 17, 2023
- 156
- 237
Jamani haya mambo ya kila kitu kodi sindio alikua anafanya mkoloni?Bmbona yamerudi kwa kasi kubwa nchini hali ya kuwa nchi ina rasilimali za kiasili nyingi mno?
Serikali kuna maeneo mngefikiria tu kuyaacha ili kula wote keki ya Taifa.
Sio kila mahali mnatafuta kodi kodi kodi wajati kuna maeneo mbadala ya madini ,gesi, misitu, mali asili zote , bahari na maziwa.
Sasa mtu ananunua uwanja eneo halina maji, umeme, hajaanza kujenga alipie kodi ya kibali.
Nyumba akijenga atalipia kodi ya majengo kupitia LUKU.
Ardhi atalipia kodi.
Cement tayari ina kodi bajeti ya majuzi imeongezwa buku.
Mchanga una kodi.
Akivuta umeme analipa kodi.
Maji kodi serikalini, UWURA nk
Akifungua kiduka cha Mangi hapo nje kodi.
Mshahara wake huko kazini kodi PAYEE.
Akifanya sherehe nyumbani kwake alipe kodi.
Jamani, huu mfumo wa kodi mbona nyonya damu? Yani inakua kama wanasema "sisi tulipigania uhuru hamuwezi kukaa kwenye ardhi yetu bure".
Au tusubiri hii tume ya Rais aliyounda juzi kuangazia mwenendo wa kodi nchini turned itakuja na mapendekezo gani.