DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Mimi mwingi sana tunapishana humu kimya kimya😃😃 au hili jina ndo linakutisha😂😂 Mimi ndo yule yule @santos06🤣🤣🤣Miss you aisee...upo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mwingi sana tunapishana humu kimya kimya😃😃 au hili jina ndo linakutisha😂😂 Mimi ndo yule yule @santos06🤣🤣🤣Miss you aisee...upo?
Na hiyo Avatar yako ni kisanga mkuu wacha niishie hapaMimi mwingi sana tunapishana humu kimya kimya😃😃 au hili jina ndo linakutisha😂😂 Mimi ndo yule yule @santos06
Asante sana mkuu ♥️🙏Maji yanayotiririka ni ishara ya misukosuko utakayokutana nayo baadaye.
Utapata msaada toka kwa watu/mtu usiyekuwa na ukaribu sana naye.
NB: Hii ndoto usiichukulie kirahisi kama baadhi ya member wanavyoleta utani. Nina uzoefu na ndoto za kuota maji hasa mto. Kuna shida yaweza kuja mbeleni. Omba sana Mungu isikupate.[emoji120]
Unamjua Johnny sins[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Imefanyaje tena
Uili tule vikuku vya bure 😀😀🤣🤣🤣🤣Nisije nikamwacha hubby sababu ya muuza kuku😋
mkaka amekuzimia ana kuwaza sana huyo. Fanya umtunuku utamu hata mara moja🤣🤣🤣 Usiniambie?!🤭
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dahh una jibu kwa tahadhari sana[emoji119]Ndiyo...namjua kidogo...kama Nina kumbukumbu nzuri
Avatar ya time Traveller 😂😂 huu ni utambulisho wangu mkubwa kuliko idNa hiyo Avatar yako ni kisanga mkuu wacha niishie hapa
Aisee.. Samia yupo sahihi tu kuuza bandariNimemwota muuza kuku😳...Yaan mpenz wangu sijawahi mwota hata mara Moja lakini Leo nashtuka toka usingizini nacheeeka.Ilikuwaje!?
Ni hivi,nimeota nilikuwa navuka daraja nyakati hizo mvua inanyesha sana... mbele yangu Kuna bro pia alikuwa anavuka (hapo sijajua kuwa ndo huyo muuza kwio)....sasa,mara ghafla maji kujaa Kwa daraja nikaanza kusombwa na maji vile napelekwa nikasikia kelele...SHIKA UKINGO WA DARAJAAA!! Kwani naelewa?!🙄 Mara nikadakwa mkono mmoja kutazama ni nani kumbe ndo huyo muuza kuku (nadhani alipoona sielewi aliponiambia nishike pembezoni mwa daraja akaona aniokoe tu!)
Muda tupo pale akawa ananiangaikia nipande juu nikashike ukingoni mwa daraja....akafanikiwa nikawa nimekamatia chuma kimoja pale ingali maji bado Yana nguvu sana,nikawa nipo kwe hofu kubwa sana....akanisoma so akaanza kuniongelesha Kwa kunipoza maneno mengiii,kwani namwelewa sasa🤒 mara ghafla mie ndo nakuwa wa kwanza kuona maji yanapungua yeye hana habari anitazama na kunipigisha stori nisizozielewa......Nami ikawa zamu yangu kupiga kelele...."OYAA,KIMBIA MAJI YAMEPUNGUAA!!!
Mshkaji kushtuka anaona kweli maji yamepungua,akainuka chap na kuanza mbio...sasa na ufupi ule kalivyokuwa kanachanganya miguu tena speed ya juu...mie huku nyuma hoi si nikaanza kucheka....Cheka kweli(kumbuka nacheka bado sijatoka darajani) Cheka kweli mpaka nimeshtuka ndotoni Bado nacheka🤣🤣🤣 Ngoja nikakatembelee baadae
Una uhakika umeota kweli hii ndoto?Nimemwota muuza kuku😳...Yaan mpenz wangu sijawahi mwota hata mara Moja lakini Leo nashtuka toka usingizini nacheeeka.Ilikuwaje!?