Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aya mkuu kazi njemaNaitendea haki avatar
"dada".😃😬My totoo is back😍😍😍😍😍😍😍hivi hata vile vitabu vya Mussa umemaliza kweli?
Huyo muuza kuku sio Bujibuji?Nimemwota muuza kuku😳...Yaan mpenz wangu sijawahi mwota hata mara Moja lakini Leo nashtuka toka usingizini nacheeeka.Ilikuwaje!?
Ni hivi,nimeota nilikuwa navuka daraja nyakati hizo mvua inanyesha sana... mbele yangu Kuna bro pia alikuwa anavuka (hapo sijajua kuwa ndo huyo muuza kwio)....sasa,mara ghafla maji kujaa Kwa daraja nikaanza kusombwa na maji vile napelekwa nikasikia kelele...SHIKA UKINGO WA DARAJAAA!! Kwani naelewa?!🙄 Mara nikadakwa mkono mmoja kutazama ni nani kumbe ndo huyo muuza kuku (nadhani alipoona sielewi aliponiambia nishike pembezoni mwa daraja akaona aniokoe tu!)
Muda tupo pale akawa ananiangaikia nipande juu nikashike ukingoni mwa daraja....akafanikiwa nikawa nimekamatia chuma kimoja pale ingali maji bado Yana nguvu sana,nikawa nipo kwe hofu kubwa sana....akanisoma so akaanza kuniongelesha Kwa kunipoza maneno mengiii,kwani namwelewa sasa🤒 mara ghafla mie ndo nakuwa wa kwanza kuona maji yanapungua yeye hana habari anitazama na kunipigisha stori nisizozielewa......Nami ikawa zamu yangu kupiga kelele...."OYAA,KIMBIA MAJI YAMEPUNGUAA!!!
Mshkaji kushtuka anaona kweli maji yamepungua,akainuka chap na kuanza mbio...sasa na ufupi ule kalivyokuwa kanachanganya miguu tena speed ya juu...mie huku nyuma hoi si nikaanza kucheka....Cheka kweli(kumbuka nacheka bado sijatoka darajani) Cheka kweli mpaka nimeshtuka ndotoni Bado nacheka🤣🤣🤣 Ngoja nikakatembelee baadae
SidhaniAlishaniacha kitambo mbona☹️
Duh mwali mtataHiyo chapter 3 sidhan kama amemaliza
Mungu akutie Rijamu mdogo wangu...."dada".😃😬
Acha tu nijifunze kunyamaza dunia inatisha hii 😬😃😆😂🤣.
Vipande vya dinari vinatafutwa kwa njia nyingi🤣😂😆
Biblia nasoma usijali
pamoja sana dear 😉Asante sana wangu
amin rabbil alamin🙏Mungu akutie Rijamu mdogo wangu....