Jamani hivi huyu baba ana upendo namimi?

Jamani hivi huyu baba ana upendo namimi?

Hajawahi kunifanyia jema lolote zaidi ya kunizaa na kunilea nikiwa mtoto mchanga nilivyopata akili sikua najua nini maana ya baba hadi tukutane kwny misiba huko vijijini, nilivyoanza job ndio alikua kafulia ndio kanitafuta

ninachokuomba kwanza punguza hasira juu ya mzazi wako (baba yako) , japo unakiri na kuamini jema kuu la kwanza ni kukuzaa na kukulea ukiwa ungali mdogo ... je umeshafuatilia kama kulikuwa na tatizo kati ya baba na mama yako ambalo linaweza kuwa ndo chanzo cha kuwa mbali na baba yako????

Dada story yako inataka kufanana na yangu ila point ya msingi,angalia mbele,usigeuke nyuma.Kama ana mapenzii na wewe au hana mapenzi na wewe is up to yeye.Jenga future yako sasa.

Thanks Geof, ushauri wako naufanyia kazi

ninachokuomba kwanza punguza hasira juu ya mzazi wako (baba yako) , japo unakiri na kuamini jema kuu la kwanza ni kukuzaa na kukulea ukiwa ungali mdogo ... je umeshafuatilia kama kulikuwa na tatizo kati ya baba na mama yako ambalo linaweza kuwa ndo chanzo cha kuwa mbali na baba yako????

Hawana ugomvi na mama wala nini tena anaendaga kumsalimia mama ila mimi wala hata nikiwa kwa mama incase kaja utaona anamuulizia mama kama mama hayupo ananilizia mimi then anataka hela nikimpa anaishia zake wala hakai hata kupiga story 2,3

kulingana na story yako inaonyesha malezi uliyopata ni ya mzazi mmoja yaani mama au upande wa mama ... je ni kwa nini baba na mama yako hawakuwa pamoja ??? je ulishajua sababu??

nisamehe mpendwa,

kwa moyo wangu wote nasema siwezi kukushauri ujitenge na baba yako kwa sababu yoyote ile, nakushauri tena, endelea kumpenda na kumheshimu na hata kumsaidia bila kuhesabu yeye kakusaida nini! jihadhari na roho ya kumpuuza au kumchukia baba yako kwa sababu ya pesa zake unazotaka nawe uzifaidi. tamaa ya pesa ni mbaya sana, jihadhari mpendwa unampa nafasi ya bure kabisa shetani akupeleke jehanum. huko utapoteza mwili na roho yako pia.

nakuomba sana samahani tena kwa haya niliyoongezea kama nimekukosea.

ubarikiwe sana na Bwana

Hivi we miss Judith ulivyosoma maelezo yangu uliyaelewa? au ulikimbilia tuu kutoa coment? Maana sijasema nimemuomba hela akaninyima kwahiyo ndio nimemind ila nimesema hana time na mimi kanitenga watoto wake wote wanajua dingi yupo swafi ila mimi hajawahi kunidokezea nasikia pembeni tuu nanikikausha kama bado sijasikia nikijidai kumpa vijiela vyangu kama zamani anapokea kama vile hana haniambii lolote. Sasa wewe naona uko nje ya mstari sana coments zako zipo kama mtu
anayeropoka ovyo. au kama vipi ingia jukwaa la dini

0
0

kulingana na story yako inaonyesha malezi uliyopata ni ya mzazi mmoja yaani mama au upande wa mama ... je ni kwa nini baba na mama yako hawakuwa pamoja ??? je ulishajua sababu??

baba alikua tayari ana mke na watoto kibao mimi ni wa mwisho katika watoto wake 13 kwa hiyo hata hao ndugu zangu ni wakubwa sana kwangu

0

Hivi we miss Judith ulivyosoma maelezo yangu uliyaelewa? au ulikimbilia tuu kutoa coment? Maana sijasema nimemuomba hela akaninyima kwahiyo ndio nimemind ila nimesema hana time na mimi kanitenga watoto wake wote wanajua dingi yupo swafi ila mimi hajawahi kunidokezea nasikia pembeni tuu nanikikausha kama bado sijasikia nikijidai kumpa vijiela vyangu kama zamani anapokea kama vile hana haniambii lolote. Sasa wewe naona uko nje ya mstari sana coments zako zipo kama mtu
anayeropoka ovyo. au kama vipi ingia jukwaa la dini

mpendwa Loly,

maelezo yako nayo yamekuwa cummulative in nature. mtu akisoma post # 1 anapata picha fulani, akiendelea kusoma majibu yako kwa wachangiaji picha inabadilika, kwa hiyo na wewe unachangi watu wasikupate sawasawa kutokana na presentation yako.

1. hapa mwiishoni unasema we ndio mdogo kuliko wote,
2. katikati ulisema hao ndugu zako (unaoona anaowasaidia huku wewe kakutenga) wa uwezo mkubwa zaidi yako kimaisha/kifedha.
3. post zingine unasema ukijifanya kumpa hela zako kidogo anachukua na wewe unasikia kuwa ana hela nyingi toka kwa watu ila wewe hakuambii,
4. post nyingine unasema ananunua/anabadilisha magari kila anapotaka,
5. sasa hapa kwenye majibu yangu unaruka tena kuwa shida yako siyo pesa, shida yako hazungumzi na wewe!

kwa ujumla unasema baba yako kapata bingo, mara kapata mkwanja hadi anabadili magari lakini husemi huu mkwanja ni nini? ashinda bahati nasibu, kapora hela benki, kafanya biashara ikafanikiwa, kapata kazi nzuri zaidi, kapanda cheo? kusema tu mkwanja kwa kweli hueleweki!

hivi unawezaje kumsaidia (vihela kidogo) mtu anayebadilisha magari wakati wewe huwezi kubadilisha magari?, je hao ndugu wenye uwezo mkubwa zaidi yako anawasaidia mitaji wewe anakuacha, je wana uwezo mkubwa zaidi ya baba yao au baada ya kupewa mitaji ndio wakahangaika na biashara zikawakubali? je una wivu wa mafanikio ya baba yako na ndugu zako wengine? au hukutaka wainuke kimaisha?

je ulitaka kwa kuwa unaamini baba yako ana hela kukuzidi wewe basi ukimpa hata 1000/= akatae? je hapo usingekimbilia jamvini kusema baba yako kakudharau na kakataa zawadi yako kwa kuwa ni ndogo? je unajua kuwa mzazi hakatai chochte toka kwa mtoto hata kama ni kidogo iasi gani?

unasema hakuna tatizo kati yake na mama yako, je unayajua mambo yao hata ya liyotokea chumbani kwao kabla wewe hujazaliwa?

unasema baba yako haongei na wewe, we ulishamuomba kuongea naye akakataa? ulishawahi kumwambia kuwa una hamu ya kutaka kuongea naye akapuuza? ulishawahi hata kumuandalia luch/dinner maalum ili upate nafasi ya kuongea naye na umueleze unavyofeel mahusian yenu?

unaonekana unapuuza sana ushauri wangu na wengine tunaokutaka 'usimfungie vioo" baba yako na unachekelea sana ushauri wa wanaokuambia mpotezee, achana naye nk. kuna mtu wiki chache zilizopita alikuja hapa kusema kuwa hampendi mama yake, leo na wewe unaleta kioja kumhusu baba yako kwa sababu ya pesa!

angalieni wapendwa, shetani yuko kazini hata sasa, anapepeta watu kama ngano, naam yumkini hata walio wateule.

kuweni macho!

Mungu akubariki sana Loly

Mungu awabariki wapendwa wote mlionisoma

Amina.

baba alikua tayari ana mke na watoto kibao mimi ni wa mwisho katika watoto wake 13 kwa hiyo hata hao ndugu zangu ni wakubwa sana kwangu
0

mosi.. kama baba yako alikuwa tayari ana mke na watotot ambao unadai ni wakubwa sana kwako basi elewa kwamba lazima kulikuwa na tatizo kati ya baba yako na mkewe
pili... ni lazima aonyeshe upendo kwa wa ulakini kwa vile tayari wewe kama wewe unaonekana ni tatizo kwa vile mke wake tayari atakuwa na dhana ya kwamba baba yako si mwaminifu katika ndoa

Pole sana loly
Madam una kazi inakupa kipato hata kama ni kidogo
Kama vile ulivyokuwa ukimtegemea mama kwa kiasi kikubwa
Endelea kujitegemea na wala usiwaze kumtegemea baba kwa lolote
Akihitaji msaada wowote kama unaweza msaidie kama binadamu mwingine
Omba Mungu akupe neema ya kutomwazia mabaya hata kidogo

Ukiomba ushauri uwe mvumilivu maana zitakuja shauri nyingi.
Si lazima ushauriwe kama unavyota wewe
Vinginevyo ungeyamaliza mwenyewe
Lakini umetaka kusikia binadamu wenzako wana mawazo gani katika haya yanayokusibu, so usikasilike kiasi hicho.
Cha muhimu pokea ushauri na chukua ule ambao unafaa katika kuyajenga maisha yako katika flow inayotakiwa
Barikiwa kwa kuthubutu
Nikisoma coments zako nachafukwa na roho kabisa, plz stop

Back
Top Bottom