hardymtanzania
New Member
- Dec 1, 2021
- 3
- 7
leo nilikuwa kufanya manunuzi pale soko la Karume (Dar es salaam) sasa kuna sehemu nikawa nimenunua suluali ya spesho kwa elfu ishirini, na nikarizika kwakutojua bei harisi lakini kwenye pita pita zangu za hapa na pale nikakuta suluali kama ile ile niliyo inunua mwanzo na brand ya kampuni ni ile ile lakin naambiwa bei elf kumi , ilinichanganya sana nikaona nijaribu kuuliza hii ikoje