Jamani hivi mwalimu mweye degree

Jamani hivi mwalimu mweye degree

Udom tena...? Body ya shule imezuia watu kutoka udom..
 
UDOM chuo cha kata? kata gani?
watu tupo kazini tumetoka UDOM tunategemewa na watu wa vyuo unavyovijua.
 
nimemaliza udom bsc-ed(chemistry&biology),physics pia mkali!natafuta shule itakayonilipa laki8.5 niweke mkataba kabisa maana serikali naona wanaleta utani!kama utanihitaji nishitue npo tayari kuanzia sasa sabu npo home tu!

Mimi niko kwenye bodi ya shule moja hapa mwanza inaitwa Elites, sio siri we simply don't hire Udom products...sorry for inconvinience.

Pathetic!!
 
Duh kumbe umesoma UDOM a.k.a chuo cha kata

unajua me huwa nashindwa kukuelewa kijana,kati ya udom na chuo chako cha muccobs,kipi ni chuo cha kata hapo?maana niijuavyo udom hadhi yake ni ya kimataifa wakati muccobs hata kwenye raman za hapa bongo haipo..so wacha kudharau vyuo vya watu pimbi wewe.
 
MUCCoBS Ni tawi la SUA wewe pimbi so unapozungumzia MUCCoBS maana yake unazungumzia SUA so SUA na UDOM kipi chuo cha kata? UDOM ni chuo cha kata
 
utabaki kujichetua tu kwa kujipendekeza sua,ila kifupi udom ni chuo kizuri ambapo wahitimu wake tunao huku maofisini na wanafanya vizuri..hicho chuo chako cha kata muccobs wahitimu wenzio hata kuandika proforma invoice hawajui afu we umekalia kujitapa ujinga huku jf..kwanza inaonyesha hata ufaulu wako advance haukua mzuri ndo maana ukaishia kusoma muccobs vingnevyo ungekua udsm,mzumbe,udom au angalau saut.
 
nenda kaangalie matokeo ya C.P.A!
Hahahah wewe ndio mzembe wa kwanza nimesoma special schools(mzumbe na taboraboys) nimepiga one form4 na advance laiti ungekuwa unanijua physically usingeandika takataka zako humu jamvini! wewe ni dhaifu sana kifikra,kiuelewa na kiakili! !
 
Mimi niko kwenye bodi ya shule moja hapa mwanza inaitwa Elites, sio siri we simply don't hire Udom products...sorry for inconvinience.

Pathetic!!

Niumburura wenu nabodi yenu uchwara hiyo,tatizo bado mko zama zakila mwenye ndevu nyingi osama au kila mzungu padre!mnaonyesha bado mko bado kwenye enzi zazidumu fikra zamwenyejiti mburura kabisa nyie badala yakumwajili mtu kutokana nauwezo mnaangalia chuo alichosoma!kweli umejidhalilisha sana kwautumbo ulio andika hapa.
 
nenda kaangalie matokeo ya C.P.A!
Hahahah wewe ndio mzembe wa kwanza nimesoma special schools(mzumbe na taboraboys) nimepiga one form4 na advance laiti ungekuwa unanijua physically usingeandika takataka zako humu jamvini! wewe ni dhaifu sana kifikra,kiuelewa na kiakili! !

matokeo ya cpa ninayo hapa kwenye pc yangu,vyuo vilivyofanya vizuri ni udsm,ifm,tia,mzumbe na iaa,we unataka kunidanganya muccobs nao ni wakali wa a/c?alafu check ulivyo mjinga,sasa kama umepata dv one form 6 imekuaje umeishia kusoma muccobs chuo mfano wa secondary ya kata??..ushauri wa bure,fata kilichokupeleka shule,sio unakaa unaponda kindezi vyuo vya wenzako humu jf..na upunguze mambo ya kishamba,masuala ya vyuo bora hayana nafasi karne hii dogo,na hizi nguvu unazozitumia kwa kuviponda vyuo vya wenzio humu jf nakushauri uzitumie kwa kutafuta connection za watu ambao watakushika mkono pindi umalizapo masomo yako hapo ushirika.
 
150,000 (freshers)kama huna experience, mwezi wa kwanza.

200,000(allowance) miezi sita ya probation.

500,000(Net) mkataba wa miaka miwili ya kwanza.

750,000 uki-renew zaidi ya miaka 2(miaka 3+)

100,000+ kuanzia miaka 4 na kuendelea.

*Viwango vya shule yetu, binafsi bila kutaja commissions na nyongeza/
 
matokeo ya cpa ninayo hapa kwenye pc yangu,vyuo vilivyofanya vizuri ni udsm,ifm,tia,mzumbe na iaa,we unataka kunidanganya muccobs nao ni wakali wa a/c?alafu check ulivyo mjinga,sasa kama umepata dv one form 6 imekuaje umeishia kusoma muccobs chuo mfano wa secondary ya kata??..ushauri wa bure,fata kilichokupeleka shule,sio unakaa unaponda kindezi vyuo vya wenzako humu jf..na upunguze mambo ya kishamba,masuala ya vyuo bora hayana nafasi karne hii dogo,na hizi nguvu unazozitumia kwa kuviponda vyuo vya wenzio humu jf nakushauri uzitumie kwa kutafuta connection za watu ambao watakushika mkono pindi umalizapo masomo yako hapo ushirika.

Wewe ndio ndezi kweli tanzania nzima kuna one ngapi? unadhani kila mwenye one anasoma UDSM? ,ila nashukuru kwa ushauri wako mkuu senator a.k.a muasisi wa ligi za vyuo jf!
 
UDOM ni chuo kizuri sana, kama ulimzikiliza naibu waziri wa elimu mwaka jana ni chuo kinachoongoza kwa Tz kuwa nawahadhiri wengi wa kigeni, kinawahadhiri zaidi ya 45 wakigeni nawengi ni Phd.
 
Mshahara wake ni shing ngapi???
tamisemi.gross salary kama 570000 wakikata 460000,ila walimu wanaofundisha kibaha boys,kibaha girls,na tumbi.wanalipwa vizuri sana wanaanza kama na mil.1 na laki 2.hawa hawapo chin ya wizara ya elimu wapo chini ya mashirika ya umma chin ya ofis ya waziri mkuu.ninajamaa yangu pale kaajiriliwa mwaka jana ninahuhakika na nacho kisema.
 
ni kweli
 
nenda kaangalie matokeo ya C.P.A!
Hahahah wewe ndio mzembe wa kwanza nimesoma special schools(mzumbe na taboraboys) nimepiga one form4 na advance laiti ungekuwa unanijua physically usingeandika takataka zako humu jamvini! wewe ni dhaifu sana kifikra,kiuelewa na kiakili! !

Leo umekamatika
 
Hahaha ...hongera kwa matokeo mazuri...#team division1
 
nenda kaangalie matokeo ya C.P.A!
Hahahah wewe ndio mzembe wa kwanza nimesoma special schools(mzumbe na taboraboys) nimepiga one form4 na advance laiti ungekuwa unanijua physically usingeandika takataka zako humu jamvini! wewe ni dhaifu sana kifikra,kiuelewa na kiakili! !

mmhhh!
 
Back
Top Bottom