ngege john
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 593
- 116
Unaweza kumaliza madarasa yote/viwango vyote vya elimu lakini bado ukawa ni mjinga katika falsafa ya maisha na namna ya kuishi. Matajiri wote Duniani historia inaonyesha hawajamaliza shule/vyuo,lakini wana akili ya maisha na wanajua maisha ni nini. Dedree ni kiwango tu cha elimu na haijalishi chuo gani umesoma,sasa watu wanaanza kuponda vyuo. Jiulize umeitumiaje hiyo elimu uliyonayo kujinufaisha ww na jamii yako? Wasomi wengi wa Kitanzania wana elimu lakini hawana fikra dhati ya kuitimiza ndoto zao.