Jamani hivi nini kazi ya akili?

Sio kweli! Kupata hela ya kula shida! Wako wengi mara mia kuliko abiria! Mbeba Lawama
 
Hayo ni matokeo ya udhaifu wa mifumo mbalimbali ya nchi hususani ukosefu wa elimu bora, uchumi, ajira n. K. Kuwafanyia ukatili ni kujidhihirisha kwamba wewe kiongozi ni kilaza na huna uwezo wa kutatua changamoto zinazoikabili jamii yako.
 
Hao niwasakatonge mkuu
Ukitaka wasikusumbue ukifika stend ukishuka tu kwenye daladala nenda opposite na wanachofikiria
Mfano wakifikiria unaenda stend ww nenda kinyume na mawazo yao bila kuwajibu wala kuwasemesha
 
Hayo ni matokeo ya udhaifu wa mifumo mbalimbali ya nchi hususani ukosefu wa elimu bora, uchumi, ajira n. K. Kuwafanyia ukatili ni kujidhihirisha kwamba wewe kiongozi ni kilaza na huna uwezo wa kutatua changamoto zinazoikabili jamii yako.
Ntawawapa muda waondoke kama hawatatii ntatuma mgambo wawakamate. Basi kwa huruma yako ntawapeleka kwenye mashamba ya geza ulole. Wakikaidi Wakarudi hapo ndio watakuwa chakuka cha mamba wa mto Rufiji. Sitanii mkuu. Yaani napenda napenda matokeo chanya on the spot. Na viongozu wote wanaohusika kuwadekeza nao ntawaunganisha kwenye kundi.
Tusipokuwa wakatili Africa itabaki kuwa masikini milele.
Haiwezekani watu wanajazana stand bila kazi maalumu. Kila anaefeli maisha anakimbilia stand.

Robo ya watu wa stand ndio wapo timamu wengi madishi yameyumba.
Inaonekana hamchukii hali ya stand.

Serikali imeweka mifumo ya ki electronics watu wa stand wameihujumu waziwazi wakishirikiana na matajiri ili waendelee kukwepa kodi. Stand inakusanya wakwepa kodi.
Mpka lini wakulima, wafanyakazi na wafanya biashara watawalea watu wa stand ? Hawachangii chochote ktk uchumi wa nchi ila walalamishi balaa. Mimi hapana ntakubali tu mnilaumu, i seear ipo siku atatokeza Raisi jamii ya Hitler hapo ndio mtajua hamjui JPM atasubiri.
 
-Mkuu ili upate matokeo chanya ni lazima uwekeze elimu bora kwa watu.
-ukitaka kuwatoa watu kwenye kazi ambazo ni alimradi kazi lazima uwatafutie mbadala ambao utaleta tija zaidi, kama kuanzisha mashamba ya kisasa na kutafta masoko ya bidhaa zake.
-kama mifumo ya electronic stendi imeharibiwa , huo ni udhaifu wa serikali kushindwa kuhandle raia wake katika mfumo ulio bora.

-Serikali dhaifu huzalisha raia dhaifu, ukiona watu wanashinda stendi kupiga debe, kufanya umachinga wa shati mbili mkononi, kilimo kisichokuwa na tija,ulaji rushwa n. K inadhihirisha hiyo serikali ni dhaifu.
-Dunia ya leo ili tupate maendeleo ya kweli tunahitaji akili kubwa na si ubabe.Utawala wa kibabe hutengeneza maadui wa siri na uasi.
 
Hao niwasakatonge mkuu
Ukitaka wasikusumbue ukifika stend ukishuka tu kwenye daladala nenda opposite na wanachofikiria
Mfano wakifikiria unaenda stend ww nenda kinyume na mawazo yao bila kuwajibu wala kuwasemesha
Wanakugasigasi na kukushika na mikono yao ya shombo! Ni shidaaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…