Ntawawapa muda waondoke kama hawatatii ntatuma mgambo wawakamate. Basi kwa huruma yako ntawapeleka kwenye mashamba ya geza ulole. Wakikaidi Wakarudi hapo ndio watakuwa chakuka cha mamba wa mto Rufiji. Sitanii mkuu. Yaani napenda napenda matokeo chanya on the spot. Na viongozu wote wanaohusika kuwadekeza nao ntawaunganisha kwenye kundi.
Tusipokuwa wakatili Africa itabaki kuwa masikini milele.
Haiwezekani watu wanajazana stand bila kazi maalumu. Kila anaefeli maisha anakimbilia stand.
Robo ya watu wa stand ndio wapo timamu wengi madishi yameyumba.
Inaonekana hamchukii hali ya stand.
Serikali imeweka mifumo ya ki electronics watu wa stand wameihujumu waziwazi wakishirikiana na matajiri ili waendelee kukwepa kodi. Stand inakusanya wakwepa kodi.
Mpka lini wakulima, wafanyakazi na wafanya biashara watawalea watu wa stand ? Hawachangii chochote ktk uchumi wa nchi ila walalamishi balaa. Mimi hapana ntakubali tu mnilaumu, i seear ipo siku atatokeza Raisi jamii ya Hitler hapo ndio mtajua hamjui JPM atasubiri.