Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! utanimaliza mtima wangu kabla sijaingia eneo la tukio.... Nami nakupenda mke wangu na ntaendelea kukupenda mpaka vikijoleo vyetu viandamane..... Nikikumbuka ile kazi ya juzi, ngoja nikuletee limbwata uniongezee dozi!
Doze ikibaki mwambie cacico ammegee The secretary kidogo maana maloovee naona yanayumba kati yetu,vishawishi vimezidi.
Last edited by a moderator: