Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! utanimaliza mtima wangu kabla sijaingia eneo la tukio.... Nami nakupenda mke wangu na ntaendelea kukupenda mpaka vikijoleo vyetu viandamane..... Nikikumbuka ile kazi ya juzi, ngoja nikuletee limbwata uniongezee dozi!

Doze ikibaki mwambie cacico ammegee The secretary kidogo maana maloovee naona yanayumba kati yetu,vishawishi vimezidi.
 
Last edited by a moderator:
muwacheni mume wetu miaka 11000! tuwacheni tupumue na ndoa yetu! hatuna shiriki wala hatuhitaji! kha! mzima weye YNNAH?
Mh!! cacico bwana mi nilidhani unasema tumuache mume wako kumbe wenu ha hahahaaaaaaa.............btw mi mzima kabisa
 
Last edited by a moderator:
Kaizer nakuona hapo chini say something jamani
There are currently 7 users browsing this thread. (3 members and 4 guests)


 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom