Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! utanimaliza mtima wangu kabla sijaingia eneo la tukio.... Nami nakupenda mke wangu na ntaendelea kukupenda mpaka vikijoleo vyetu viandamane..... Nikikumbuka ile kazi ya juzi, ngoja nikuletee limbwata uniongezee dozi!
Miss u mingi ankal......!
Mimi ni rafiki zaidi wa Madame B! Huyo rafiki yake mwingine unayemsema wewe ni yupi?
Hawezekani kabisaaaa akukondeshe......tuandae silaha za maangamizi amu
:clap2::clap2::clap2: Ruttashobolwa say something please
umemmiss miss strong eeeeeeeeYaani amu kelele zote hizi kumbe unamtafuta loya Ruttashobolwa?
miss strong nimekuona apo juu hebu come zis way tafadhali...lol
Cc Asprin
Yaani amu kelele zote hizi kumbe unamtafuta loya Ruttashobolwa?
miss strong nimekuona apo juu hebu come zis way tafadhali...lol
Cc Asprin
Ha ha ha ha nimefika jamani.......vp zamu ya nani kuzungusha round hapa.
Muhudumu naomba kinywaj baridi kwanza maana naona wenyej wanashangaana.
amu Ruttashobolwa
umemmiss miss strong eeeeeeee
haya binti waitwa huk